HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hv results za oral si wanazipata on the spot wakiwa wanafanyisha usaili
Yaan kama kuna mkeka ulipaswa kuwa unawahi basi ni wa after oral interview
Nlichogundua oral ni another form of written except u dont write,they write for u[emoji23]then ndo wanasahihisha baadae huko
 
Mimi nilifanya oral direct LABORATORY SCIENTIST UDSM bila written kwenye web imeandikwa SHORTLISTED interview no......kwenye app ipo SELECTED FOR ORAL interview no......
Hii imekaaje??
Scientist mlifanya wawili nakumbuka mlipotoka tu kuna wadau watatu walifika wamechelewa aisee nliwaonea huruma sana walivyokataliwa kuingia. Wakaondoka vichwa chini.
 
Situmii hii ya app store....
Napitia direct kwenye website ndo maana mmenichanganya nkahisi npo nyuma ya muda
Huenda nilisha itwa kazini npo namanga manga[emoji3][emoji3][emoji3]
Hapana mkuu,watu wamesema app sio reliable kama web so stick to that huku ukichungulia psrs daily kama mkeka wako umeshushwa
 
Kimulimuli kimoja cha "NEW" kimezima mida hii tayari kupisha M-PDF mmoja wa 4 megabytes utakaoachiwa mchana wa leo ...Makofi kwa PSRS kwa kukata kiu yetu👏👏
Screenshot_20230222_003444_Chrome.png
 
Hazina maana ndiyo,kama zingekua na maana majibu yangekua yanakuja sawa na status inavosema
Natamani ungenielew🤣🤣🤣. Ila in short ombaaa sanaaa usikutana na ndugu """ NOT """ hata kwa bahat mbaya, yaaan hata kama umemaliza oral saivi akatokea hawaja jaza marks za oral, uyu NOT hana urafiki kabisa.
 
Natamani ungenielew[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Ila in short ombaaa sanaaa usikutana na ndugu """ NOT """ hata kwa bahat mbaya, yaaan hata kama umemaliza oral saivi akatokea hawaja jaza marks za oral, uyu NOT hana urafiki kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu maombi siwez acha kabisa,written naamin nlifaulu kwa maomb tu maana nlichokifaya najua mm na Mungu wangu.
Namuomba Mungu wangu aniinue tena kwa mara nyingine mie kiumbe chake.
 
App ni reliable zaidi as it offers instant feedback,. Web iko too static.
Mpaka muda huu, status imeendelea kwa selected for oral
Mnatuchanganya wakuu[emoji38][emoji23][emoji23]mbona kuna mdau hapo kasema app sio ya kutegemea jaman mnatuvuruga
 
Back
Top Bottom