HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ilikua huwez jua umepata kazi ila unajua still bado upo kwa competition, COZ izo ""NOT"" after oral zilikua zina exist for real. But now inaonekana wa prac wasio na prac ata zile status za watu waliokua na NOT zote zime kuwa """ selected for oral"""
Kwa hyo NOT zinaendelea kuexist,frm ushuhuda wa huyo jamaa hapo juu
 
Changamoto Yao Kubwa ni kuchelewa kutoa Placements,hata wao wenyewe washajua Hilo ni tatizo.Kama Leo hii mtu alifanya Oral 28 November ila mpaka Sasa placement hamna na ni mwezi Wa tatu huu,si tatizo Hilo.Hapo Hapo mtu ameomba Scholarship,na mambo mengine mengi anakuwa anasubiri hatma yake ila ndio hivyo inachelewa...
Sekretarieti ya Ajira
Ooooh...28 Nov last year eeeee??
Mkemia?? Au watu wa Mionzi ulikuwa?
 
Bila shaka walifanya oral tarehe 30 January...Mazaga one mnabisha ila hizi mambo zipo ,app ipo ivo me nimeogopa kutuma tu ila nashukuru jamaa kaonesha
Mkuu yako ilikua mapema mnooooo,yan ufanye leo kesho tayar ibadlke duh,wameingza data saa ngap
 
Hapo mzee shughuli imeisha, natumaini ukijia-asses vizuri kwa utulivu umeshajua wapi au swali au maswali gani ulizingu. Pole sana.

Ingia katika sala zishuke pdf nyingine za ajira kuanza upya kutafuta received.
[emoji23][emoji23][emoji23] alooo
 
Jichanganye hutaamini macho yako, kua mpole subir pdf, omba mungu usikutane tu na ndugu"""NOT""".
Exactly my point,na ndo maana mimi nasema hata huyo NOT it can change to SELECTED mana pdf bado haijatoka.
Umeelewa sasa
 
Ilikua huwez jua umepata kazi ila unajua still bado upo kwa competition, COZ izo ""NOT"" after oral zilikua zina exist for real. But now inaonekana wa prac wasio na prac ata zile status za watu waliokua na NOT zote zime kuwa """ selected for oral"""
Not Selected for Oral imebaki kama ilivyo kwenye App ila kwnye Web ni Selected for Oral.Iyo placement zake zilishatoka.
 
Imagine, post 100, mliofanya oral 300+ hata wote mkiwa na selected fo baada ya oral, ni wazi sio wote watapata kazi ikiwa tu hitaji linaendelea kuwa lile lile la watu 100
Na ichi nishajaribu kusema lakin wap, mtu anapata status postive, zen akikosa kazi anasema status hazina maana, anazani alikua hana competitors baada ya kupata selected.
 
Kwan hadi wanafanyisha oral si means washa jua idadi ya wanaowahitaji?
Kwann kuwepo tena kuchelewa kupangiwa vituo vya kazi???
Mhhhhh kuitwa kwenye usaili ni baada ya kuwa umetuma maombi labda miezi minne hadi sita yaaan ushasahau hata kama uliomba kazi
Umefanya usaili written hadi oral napo hapo hadi PDF itoke ongeze minne hadi sita
Unaweza maliza mwaka mzima kama masihara ndo upangiwe kazi
 
Isikie tu....usiione kwenye account yako
NOT SELECTED ipo baada ya written kabla ya Oral..na ipo baada ya Oral na "INA MAANA"
Screenshot_20230222_000847_Chrome.png
 
Back
Top Bottom