mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,603
- 4,190
Bila shaka utakuwa OUT wewe??Bora ww Jan...utulia
Wengine mwaka jana Nov mwishon lkn baaaado hata ki-PDF cha bahati mbaya[emoji3][emoji3][emoji3]
Bila shaka utakuwa OUT wewe??Bora ww Jan...utulia
Wengine mwaka jana Nov mwishon lkn baaaado hata ki-PDF cha bahati mbaya[emoji3][emoji3][emoji3]
Humu wengi wanataka kusikia yale yanayowafariji.Isikie tu....usiione kwenye account yako
NOT SELECTED ipo baada ya written kabla ya Oral..na ipo baada ya Oral na "INA MAANA"
View attachment 2525673
Uskae kinyonge mkuu,PDF ndo msema ukweli. Wewe ushafanya part yako the rest mwachie Mungu,usiache kusali kla sku,matokeo yaje mazuri mana wengi after kumaliza tunasahau kumwomba Mungu kwa matokeo mazuriNlikua natumiaga web sasa leo nimeidownload ndio nakutana na hayo mambo
Sasa ukweli ni upi kaka.....?We muongo muongo🤣🤣🤣.
Kwan ukiitwa kazini status yako inakuwa imeandikwa nn???Isikie tu....usiione kwenye account yako
NOT SELECTED ipo baada ya written kabla ya Oral..na ipo baada ya Oral na "INA MAANA"
View attachment 2525673
Swali ambalo sikujibu ni moja tu, tena lilikua na A na B lakini mengine nlijibu vizuri tu. Na written pia nlifanya vizuri labda kama wametumia kanuni ya Ladie 1st.Ni vile tu hajasema na hatosema alivokabiliana na panel, hiyo ngoma imeshaisha naamini akiwa muungwana atajua ni wapi hakukava vema wakati anajiandaa na hakujib vema katika panel
Hazina maana ndiyo,kama zingekua na maana majibu yangekua yanakuja sawa na status inavosemaNa ichi nishajaribu kusema lakin wap, mtu anapata status postive, zen akikosa kazi anasema status hazina maana, anazani alikua hana competitors baada ya kupata selected.
Sasa hao wenye +ve feedback baada ya oral, lazima watambue kuwa, sio wote watapata kazi. Kundi dogo litapita kubwa litabaki,.Na ichi nishajaribu kusema lakin wap, mtu anapata status postive, zen akikosa kazi anasema status hazina maana, anazani alikua hana competitors baada ya kupata selected.
OUTWewe ni OUT au SUA?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aloooo kweli kabsa mwaka unaweza kata kimasiharaKwan hafi wanafanyisha oral si means washa jua idadi ya wanaowahitaji?
Kwann kuwepo tena kuchelewa kuoangiwa vituo vya kazi???
Mhhhhh kuitwa kwenye usaili ni baada ya kuwa umetuma maombi labda miezi minne hadi sita yaaan ushasahau hata kama uliomba kazi
Umefanya usaili written hadi oral napo hapo hadi PDF itoke ongeze minne hadi sita
Unaweza maliza mwaka mzima kama masihara ndo upangiwe kazi
Sijawahi kuitwa kazini...ila walioitwa walisema inabaki "SELECTED FOR Oral" kama ilivyokua muda mfupi kabla PDF haijatoka.Kwan ukiitwa kazini status yako inakuwa imeandikwa nn???
Ile umeitwa wanakuandikiaj au taarfa ni kwa PDF pekeee?
Halaf inakuwaje walofanya usaili wa oral mfano Jan na Feb mwanzoni mwa mwaka huu washaitwa kazin halaf wale wa Nov mwaka jana...bado wapo tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sijawahi kuitwa kazini...ila walioitwa walisema inabaki "SELECTED FOR Oral" kama ilivyokua muda mfupi kabla PDF haijatoka.
Ooohh kila lakheri mwamba....
App ilitakiwa kusomekaje ili kuwa sehemu salama hapo awali.?wakat mwingine ni bora ku face ukweli ata kama unauma, mi nazani aelezwe ukweli kuwa pdf ndo msema kweli, lakini pia amuombe mungu amsaidie atoke kwa mkeka ila ukweli ubaki palepale kuwa hakuna aliewahi kupata kazi akawa na ""NOT"" kwenye app. Wengi washashuhudia humu ila ajue ukweli mtu wa design hio hakuwai tokea, ili aongeze nguvu kwenye mambo mengine na kupunguza expectation kwenye io post japo asubir pdf ku confirm.
wewe ulisikiaa wapii mtu awe na not selected halafu atoboee??Kuna watu humu walikua na not selected na pdf ikaja wamo ,msijisahaulishe.
Na hiyo ndo sabbu wote tukakubaliana status hazna maana tena.
Two people,same status ila mmoja yumo mwingine hayumo,hvo and the likes,so unaeza ona hapo how meaningless status is.
Kwa hyo na nyie bado bado hawajarelease walopata kazi??Sasa ukweli ni upi kaka.....?
Mimi ni mtaalamu wa maji
Nliambiwa mkuu labda kama alinilisha matango poriwewe ulisikiaa wapii mtu awe na not selected halafu atoboee??
unachotakiwa kujua kwa watu waliowai kupata kazi ndugu ""NOT"" hakuwai onekana kwenye account zao hata kwa bahat mbaya waliishia kumsikia tu.Exactly my point,na ndo maana mimi nasema hata huyo NOT it can change to SELECTED mana pdf bado haijatoka.
Umeelewa sasa
Wewe yako inasomekaje?Bila shaka walifanya oral tarehe 30 January...Mazaga one mnabisha ila hizi mambo zipo ,app ipo ivo me nimeogopa kutuma tu ila nashukuru jamaa kaonesha