HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Halaf inakuwaje walofanya usaili wa oral mfano Jan na Feb mwanzoni mwa mwaka huu washaitwa kazin halaf wale wa Nov mwaka jana...bado wapo tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii inatokana na uhitaji au uharaka wa Mwajiri mf. TRA katika kuendeleza mchakato wa Ajira....
Usaili ukishafanyika PSRS hukabidhi majina pendekezwa kutokana na usaili ulivyofanyika the Mwajiri akishakamilisha mchakato atayarudisha Majina kwa PSRS ili wayatangaze
 
unachotakiwa kujua kwa watu waliowai kupata kazi ndugu ""NOT"" hakuwai onekana kwenye account zao hata kwa bahat mbaya waliishia kumsikia tu.
Ndio but hua zinachange ndo point yangu,kwa mfano kuna mmoja hapo juu oral 14 halafu 15 not selected ni too early to judge
 
Yap sio lazima ulie unakazaa lakina io feeling lazima uipate, unaweza rudia kuangalia ile pdf mara 7 hiv ni kweli sipo, halafu ukaifuta, uka download tena may b unaweza kuwepo🤣🤣🤣🤣🤣.
😂😂😂😂
 
Hii inatokana na uhitaji au uharaka wa Mwajiri mf. TRA katika kuendeleza mchakato wa Ajira....
Usaili ukishafanyika PSRS hukabidhi majina pendekezwa kutokana na usaili ulivyofanyika the Mwajiri akishakamilisha mchakato atayarudisha Majina kwa PSRS ili wayatangaze
Sometimes ni mapuuza tu sa sjui wanafaidika nn kuchelewesha au ndo mpaka waingizane mtoto wa ankali shangazi
 
Hii inatokana na uhitaji au uharaka wa Mwajiri mf. TRA katika kuendeleza mchakato wa Ajira....
Usaili ukishafanyika PSRS hukabidhi majina pendekezwa kutokana na usaili ulivyofanyika the Mwajiri akishakamilisha mchakato atayarudisha Majina kwa PSRS ili wayatangaze
Ishu ni mpaka kufanyisha oral means uhtaji upo!
Sasa masuala ya tena kumsikilizia mwajiri ndo nini sasa[emoji16][emoji16]
Vijana wanaanikwa juani
Mipango mingne haiendi kwa kusubiria visivyosubirika
Unaweza pata mishe uiache ukisikilizia ya utumishi ambayo ikija toka ndo haumo na kuwemo
Wakat PDF ikitoka mapema mbivu na mbichi vnajulikana.....
Anyway vjana tuvumilie tu maana mvumilivu hula mbivu
 
Huyo ameelezea alicho-expirience katika account yake, kwanini hamtaki kumuamini?
Mm namuamin mkuu ila nasema kua anything can happen still kwa kua changes zake zmekua too fast yan within 24hrs. You never know inaweza change to selected pia
 
Mimi nilifanya oral direct LABORATORY SCIENTIST UDSM bila written kwenye web imeandikwa SHORTLISTED interview no......kwenye app ipo SELECTED FOR ORAL interview no......
Hii imekaaje??
 
Back
Top Bottom