HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Taasisi zote kuna sehemu nyingine watu hawaja report kazini nafasi zimerudi utumishi kuna idara nyingine vibali vyao vipo mezani ila hazijatangazwa kwa kuwa watu wapo Database wenye sifa so usishangae mtu ukala hata shavu afisa mtendaji kigoma kijijini popote kambi tu
kwa hii pumzi ya moto ya kitaa naenda kuripoti hata gamboshi
 
Huu usahili form six leaver wa ECA au HGE anajibu na anapata 100% kabisa mim sio mchumi ila knowledge yangu ya advanced level economics tena ile ya kitabu cha ambikile ningetoboa

Walikua watu wengi sana oral wakaja na maswali ambayo hutegemei. Wamecheza na saikolojia ya watu hapo wengi wamekutana na Ndoige
 
Walikua watu wengi sana oral wakaja na maswali ambayo hutegemei. Wamecheza na saikolojia ya watu hapo wengi wamekutana na Ndoige
Atakayenufaika ni yule aliyejiandaa kwa kusoma kila topic, bila kuruka hata karatasi. Wale wa kulenga, hapo lazima upambane na kigugumizi,.
 
Hello guys;

Hivi ukiwa unajibu swali liwe la ku mention au kuexplain na kabla ya kulimaliza let say wamesema mention five points ukataja two tena kwa speed Ile unaenda ya tatu panelist mwingine anasema another question hii maana yake Nini?
Labda washakuona unawadanganya,,, yaan hujui unatoa points za uongo.
Mkuu nakushauri siku nyingine kama swali hujui kabisa just be honest, husiseme kuwa hujui Ila waambie kuwa umesahau, sometimes wanajua watu wamemaliza zamani na mtaan hakusomeki😂😂 materials yanasepa wanaweza kukufikiria hata kwa maksi 5 za mchongo kwenye hilo swali😁
 
Utaingia tu, mimi nimechezea ndoige kadhaa, ila sasa nimeweza ingia oral, kesho pia nina oral.

Mfano oral ya jana ilikuwa ya kawaida, kesho namalizia ya pili na kikubwa wametwambia ni week tatu tu, placement tayari.
hongera sana asee Mungu akutangulie
 
Back
Top Bottom