Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Unafundishwa uvumilivu mtumishi wa ummaikiwa hivi itapendeza sana vifurush vya uvumilivu vimekata wataua watu
Unafundishwa uvumilivu mtumishi wa ummaikiwa hivi itapendeza sana vifurush vya uvumilivu vimekata wataua watu
👆👆👆Leo placements ni uhakika,, ni Suala la muda tu
duh aysee hii hatari wangechagua waliofaulu ndo wawape haya mafunzo ya uvumilivUnafundishwa uvumilivu mtumishi wa umma
Kwani leo ni jumanne?[emoji3]Leo placements ni uhakika,, ni Suala la muda tu
Ivi zile placement 1700 alizosema wazir zinatoka kwenye database ni pamoja na TRA na REA walizozitoa?leo sijui kutakuwa na placement mpya
sina hakika afsa hapa ntakupigia ramli tuIvi zile placement 1700 alizosema wazir zinatoka kwenye database ni pamoja na TRA na REA walizozitoa?
Kwani hizo zimetoka kanzidata? PDF la waziri linahusisha kanzidat msichngnye mambo?Ivi zile placement 1700 alizosema wazir zinatoka kwenye database ni pamoja na TRA na REA walizozitoa?
Kwani hizo zimetoka kanzidata? PDF la waziri linahusisha kanzidat msichngnye mambo?Ivi zile placement 1700 alizosema wazir zinatoka kwenye database ni pamoja na TRA na REA walizozitoa?
Kwani hao walitoka database? msichanganye mmbo ebo!!Ivi zile placement 1700 alizosema wazir zinatoka kwenye database ni pamoja na TRA na REA walizozitoa?
umejibu.ila hauja mwelewaKwa
Kwani hao walitoka database? msichanganye mmbo ebo!!
Basi n ww hukumwelewa waziri, alisema; "Mwezi huu wa pili wataajiri watumishi 1700 kutoka kwenye kanzidata".umejibu.ila hauja mwelewa
Mbona wanauwezo wa ku mark watu 8,000 ndani ya week mbili na kutoa majibu ije iwe kitu ambacho mfumo unawasaidia sorting and allocating?jaman kuajiri watu 1700 kutoka data base sio mchezo, kama juzi walikaa kikao hali ni ngumu, interview za mwaka 21/22 placement hazijatoka/ expectations hazijafikiwa, halafu itoke data base ina 1700.
Kuna wakat mwingine sipendi kuota mchana.
Mi nazani waziri alikuwa sahihi, ila alimanisha pamoja na TRA na REA na taasisi zingine ambazo zinasubir placement kwamaba wanaweza fanya placement 1700 this month.Ivi zile placement 1700 alizosema wazir zinatoka kwenye database ni pamoja na TRA na REA walizozitoa?
Waziri alisema sasa hivi bajeti inayotumika kuajiri ni 2021-2022Inawezekana Nahic Nafasi Hizo Za Database Vingi Ni Vibali Vya Ajira Mpya 2022/23.
Kwa Kada Ambazo Watu wake wapo Database Watapelekwa Kwa Taasisi Direct.
Kuna Taasisi Inataka Watu 500+ .
Pia Huwa Inakuwa na Uhitaji wa Ajira za Haraka Labda Wanaweza Ita Huko.
Pia Wanasheria,Driver,Secretary,Afya,Economist.
Subira Muhimu Tutaona Mambo Yatakuwa Je
Hapana sijamaanisha upande wa kuwapata waajiriwa. Ila kama umeiona ile video waliopost humu, inaonesha hawajafikia malengo ya kuajir ya mwaka wa fedha uliopita, na kuna taasis nyingi zinasubir placement na miezi ii miwili ya mwaka huu interview zimefanyika nyingi sana wote wanasubir placement. Mm mawazo yangu ni kuwa watachukua watu data base wa kutosha ila nafasi za TRA na REA na placement zinazokuja zitakua ndani ya io idadi ya 1700.Mbona wanauwezo wa ku mark watu 8,000 ndani ya week mbili na kutoa majibu ije iwe kitu ambacho mfumo unawasaidia sorting and allocating?
Mzee baba umetisha sana. Hizi zinaonyesha ni za ndani kabisaaaDatabase;
1.Ulifaulu Usaili Na Ukahifadhiwa As Reserve
2.Ipatikane Nafasi Kwenye Tasisi Yoyote Yenye Kibali Cha Kuajiri Kulingana Na Kada Yako Ambayo ulifanyia Usaili Na Ukafaulu Kwa Kipindi cha mwaka 1.Toka Majibu Ya Usaili Uliofanya Na Kukosa Nafasi Ingawa Ulifauli(Uchache).
Kwahy Database Itakuwa Taasisi Ambayo Inakibali cha Kuajiri Kwa Kada Flan Na Hiyo Nafac Haijatangazwa Sababu kuna Watu Kwa Datasabe.
Simple Ukiona Kada Imetangazwaa.
Ujue Haina Watu Kwa Database Kulingana Na Qualification Wanazotaka.
Au Hiyo Taasisi Inataka Watu wengi Na Waliopo kwenye Database Hawatoshelezi(wachache)
Za ndaniiiiiiiiii kabisa. Chief unaonaje ukaitaja hii taasisi ya 500+ kama hutojaliInawezekana Nahic Nafasi Hizo Za Database Vingi Ni Vibali Vya Ajira Mpya 2022/23.
Kwa Kada Ambazo Watu wake wapo Database Watapelekwa Kwa Taasisi Direct.
Kuna Taasisi Inataka Watu 500+ .
Pia Huwa Inakuwa na Uhitaji wa Ajira za Haraka Labda Wanaweza Ita Huko.
Pia Wanasheria,Driver,Secretary,Afya,Economist.
Subira Muhimu Tutaona Mambo Yatakuwa Je
Nafasi Ya Database Huwa Haitangazwi Na Kuanza mchakato wa Kugombania yan usaili.Mi nazani waziri alikuwa sahihi, ila alimanisha pamoja na TRA na REA na taasisi zingine ambazo zinasubir placement kwamaba wanaweza fanya placement 1700 this month.
Ila ni mawazo yangu tuuu.