Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Watatoa pdfwatupigie mkuu
Watatoa pdfwatupigie mkuu
nami naona bora iteme pdfWatatoa pdf
wataweka mkuu, hta za diploma ya kilimo hzo walichelewa ku updates mkuuMbona kimya vijana hamnipi mrejesho huko kuhusu hizo kazi za Posta
Naona kitengo chao cha IT hakipo sawawataweka mkuu, hta za diploma ya kilimo hzo walichelewa ku updates mkuu
Duuuh, kumbe Huwa mnafuatilia hv... Sawa mkuu hebu tusubiriwataweka mkuu, hta za diploma ya kilimo hzo walichelewa ku updates mkuu
Kwani Unadhani Maza alivyowachana live alikuwa anawasingizia... PSRS ni jipu tuNaona kitengo chao cha IT hakipo sawa
Washaweka na za MZUMBE pia wameweka ila za mzumbe ukiapply zinagoma hata kana una sifa zote nadhan IT bado hawajaweka mambo sawaEty wadau, hiz kazi zilizotangazwa Jana PSRS za shirika la posta Tz mbona sizioni kwenye mfumo wao.. Kuna mtu kafanikiwa kuomba..?
Yaaah nishaomba.. Kuna dogo Yuko shambahuko aliniomba nimuapplieWashaweka na za MZUMBE pia wameweka ila za mzumbe ukiapply zinagoma hata kana una sifa zote nadhan IT bado hawajaweka mambo sawa
UMRI&JINSIA zinaumiza sana watu nyuma ya pazia. Huyo ni jinsia gani na ana umri gani?Hakuna kitu kama hicho kuna dogo namjua written hizi za TRA waliopata kazi hivi majuzi alikua kwenye ile top 5 ya written na kazi amekosa. Kwa marks alizopata written hata kama wanagawa kwa 2 asingeweza kukosa kazi otherwise kapata 0 oral kitu ambacho hakiwezekani kwa kuwa najua uwezo wake.
To conclude:
Inawezekana kila hatua inajitegemea au kuna mambo yanaendelea nyuma ya pazia hatuelewi.
Baada ya kupangwa kwa marks, wana group marks zinazofanana na ku sort out kwa umri kisha jinsia. Haya ndiyo yaliyomo nyuma ya paziamajina ya waliofaulu oral yatapangwa kwa marks walizopata, kuunganisha wanamaanisha panel mbili kusahihisha mtihani wa kada moja na sio tokeo la oral na written.
Kama nafasi ni moja, watatumia kanuni za *Physical ability,Hao wote Wana stahili kupata asali, na sio kUchukua mmoja
Umri, jinsia na ulemavu utumika mkilingana marks tu. Mwenye miaka 18 anaweza kupata kazi mbele ya mlemavu, mwanamke na mtu mwenye miaka 43 akiwazidi marksKama nafasi ni moja, watatumia kanuni za *Physical ability,
*Gender,
*Age.
Usishangae mwenye wastani mdogo akapangiwa kazi na wenye wastani mkubwa akatupwa database na kusahaulika huko
Dom mkuuKaka wewe upo wapi?
Mkuu naona mshahara ushaanza kuflowDom mkuu
Imekaa utamu hyoo,ECONOMIST GRADE 2 MDAs & LGAs___[emoji120]
1.introduce yourself
2.difference between micro and macro economics
3.individual reason of holding money
4.method for calculating national income
5. Government usually use two economic policies to regulate economy. Mention them