HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
bato la status limezimwa,saiz ni written na oral marks,mtalumbana sna lakini hamuwezi fikia ile mbungi la watu wa account zile elements
HAta mm nashangaa,NI kama wamepangwa ivi kuvuruga Uzi,
Badala ya kutoa maoni yamsingi Ili utumishi wajirekebishe.
Mfano Ili takiwa kwa wale ambao ,utumishi Wana dai eti wako. Kwenye database (kazidata) . Kwenye profile zao wapewe notification zaku waonyesha kwamba kweli wapo kwenye database.
Hili jambo lingeleta utulivu kwa watafuta asali.
Na utumishi wangeonekana sio wababaishaji
 
Hii ni kweli kuna dada wa utumishi nilimwulizaga pale UDOM akasema jitahid upate max kubwa kwenye written maana Oral huwa haitabiliki. Alinambia written + Oral then divide by 2 hapo ndo max zako. Ndomana unaweza kuta unajiamini umetoboa Oral kumbe written ulizingua.

Utazinguaje written na hapo hapo ufaulu kwenda oral?.
 
Hii ni kweli kuna dada wa utumishi nilimwulizaga pale UDOM akasema jitahid upate max kubwa kwenye written maana Oral huwa haitabiliki. Alinambia written + Oral then divide by 2 hapo ndo max zako. Ndomana unaweza kuta unajiamini umetoboa Oral kumbe written ulizingua.
Hakuna kitu kama hicho kuna dogo namjua written hizi za TRA waliopata kazi hivi majuzi alikua kwenye ile top 5 ya written na kazi amekosa. Kwa marks alizopata written hata kama wanagawa kwa 2 asingeweza kukosa kazi otherwise kapata 0 oral kitu ambacho hakiwezekani kwa kuwa najua uwezo wake.

To conclude:
Inawezekana kila hatua inajitegemea au kuna mambo yanaendelea nyuma ya pazia hatuelewi.
 
kifungu 15(2).

kuna mtu written alipata 50 ila alilamba asali kwa kuwa alipiga vzur oral. na kuna meingine alipata 80 ila hakulamba asali kwakuwa haku perform vzur oral

let say written 50 + 95 oral = 145
written 80 + 60 oral = 140

mwenye jumla ya 145 ndo mshindi japo hakufanya vzur written
majina ya waliofaulu oral yatapangwa kwa marks walizopata, kuunganisha wanamaanisha panel mbili kusahihisha mtihani wa kada moja na sio tokeo la oral na written.
 
utaratibu ni hivi uyo aliepata prac 50 wanaangalia na written alipataje... lazma written waangalie kwa kila mtu..

hawawezi kuacha maksi za written kama wadau wanavosema humu.
Written ni Kwa ajili ya kuwachuja tu. Ukishavuka hata 50 hapo ndio pambana, hakuna uhusiano hata ukipata 100 written then oral uboronge mfano upate 49 unaliwa kichwa mapema kabisa.
 
Hakuna kitu kama hicho kuna dogo namjua written hizi za TRA waliopata kazi hivi majuzi alikua kwenye ile top 5 ya written na kazi amekosa. Kwa marks alizopata written hata kama wanagawa kwa 2 asingeweza kukosa kazi otherwise kapata 0 oral kitu ambacho hakiwezekani kwa kuwa najua uwezo wake.

To conclude:
Inawezekana kila hatua inajitegemea au kuna mambo yanaendelea nyuma ya pazia hatuelewi.
ayseee naunga mkono umeconclude vzr sana. 👏👏👏
 
Wale jamaa oral zao ziko straight sana, ukiwa na roho ngumu, ukitoka unatafuta videsa na kupata majibu ya swali la pili mpaka la tano, na kulinganisha na kile ulichokijibu.

Simple tu, unajijua upo ndani ya chaki au tayari umeshaaga mashindano.

Kumbuka pia oral unaweza ukafaulu lkn pia usiitwe kazini sababu Kuna wenzio wamefaulu zaidi.
 
HAta mm nashangaa,NI kama wamepangwa ivi kuvuruga Uzi,
Badala ya kutoa maoni yamsingi Ili utumishi wajirekebishe.
Mfano Ili takiwa kwa wale ambao ,utumishi Wana dai eti wako. Kwenye database (kazidata) . Kwenye profile zao wapewe notification zaku waonyesha kwamba kweli wapo kwenye database.
Hili jambo lingeleta utulivu kwa watafuta asali.
Na utumishi wangeonekana sio wababaishaji
yaah afsa
 
utaratibu ni hivi uyo aliepata prac 50 wanaangalia na written alipataje... lazma written waangalie kwa kila mtu..

hawawezi kuacha maksi za written kama wadau wanavosema humu.
Alama za ufaulu kwa kada zinazohusisha usailiwa vitendo au uwasilishaji wa mada zitapatikana kwa kuchukua alama za vitendo au uwasilishaji wa mada jumlisha alama za mahojiano

hizo za written uwe nazo wewe labda
 
Hakuna kitu kama hicho kuna dogo namjua written hizi za TRA waliopata kazi hivi majuzi alikua kwenye ile top 5 ya written na kazi amekosa. Kwa marks alizopata written hata kama wanagawa kwa 2 asingeweza kukosa kazi otherwise kapata 0 oral kitu ambacho hakiwezekani kwa kuwa najua uwezo wake.

To conclude:
Inawezekana kila hatua inajitegemea au kuna mambo yanaendelea nyuma ya pazia hatuelewi.
Ipo siku mtaja gundua utumishi ni janga when it's to late.
Utumishi Wana rudisha nyuma juhudi za raisi wetu.

Raisi Samia ,stuka utumishi wanakurudisha nyuma either kwa makusudi au kwa ukosefu wa rasilimali .
 
Hakuna kitu kama hicho kuna dogo namjua written hizi za TRA waliopata kazi hivi majuzi alikua kwenye ile top 5 ya written na kazi amekosa. Kwa marks alizopata written hata kama wanagawa kwa 2 asingeweza kukosa kazi otherwise kapata 0 oral kitu ambacho hakiwezekani kwa kuwa najua uwezo wake.

To conclude:
Inawezekana kila hatua inajitegemea au kuna mambo yanaendelea nyuma ya pazia hatuelewi.
Kufanya vizuri written na kuzingua oral inawezekana kabisa, sio kitu cha ajabu.

Kuna mambo kadhaa, moja, swala la kujibu maswali kwa kujiamini linaweza likawa tatizo.

Pili, sio kujibu tu swali, isuue ni kutoa jibu sahihi kwa swali husika, hapa napo pana changamoto.

Tatu, aina ya panel alilopangiwa mtu, je viongozi wa panel husika wana uvumilivu kutoa muda kwa msailiwa ili kujibu swali au ndo wale, ukiwa unafikiria uingiaje, washakujibu, tumejua unachomaanisha, twende swali lingine.
 
Back
Top Bottom