Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,769
- 126,702
NAOT nafasi zilitangazwa kwa Kiswahili, niliandika Barua kwa Kiingereza, niliitwa.Ety wadau, Kuna mtu Kashindwa kuitwa interview yoyote sababu ya kuandika barua kwa lugha tofauti na ya tangazo la Ajira..?
Kuna dada wangu Mdogo hapa kaniomba nimuombee kazi zilizotoka hivi karibu..
Atumie Kiingereza maana hata kwenye mikando ndicho kinachotumika.
Otherwise, muongozo wa lugha ya kuandika barua utolewe kwenye tangazo