mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
okay mkuuNitayaweka baadae nikitulia
okay mkuuNitayaweka baadae nikitulia
Vizuri, tunaomba maswali ya oralSITACHECK STATUS HAD PDF IJE
Hadi waidhinishe matokeo ya Taasisi flani ndo waweze kutoa mkeka.. sasa watatoaje mkeka bila ya matokeo ya taasisi flani kuidhinishwa. .?yaani wanachofanya utumishi,nikama kumchimbia mtu kisima ukamaliza kwa vifaa na garama zako then badala akulipe. bdo anatangaza tender kwa watu wengine wakisakafie ,huku fundi bdo uelewi kuhusu malipo yakazi yako.
waidjinishe matokeo ya taasisi fulani?? sijakusoma afsa unamanisha nnHadi waidhinishe matokeo ya Taasisi flani ndo waweze kutoa mkeka.. sasa watatoaje mkeka bila ya matokeo ya taasisi flani kuidhinishwa. .?
Tutulie kama umeandikiwa kuwepo utakuwepo tu. let wait and see, it is just the matter of time.
ulisema sa8 mkuuMida ya placements hii
Vipi ushamaliza oral?SITACHECK STATUS HAD PDF IJE
yeah official languages ni kiswahili na english kwa application letter hazina shida ila kwa level ya degree pendelea sana kuapply kwa englishNAOT nafasi zilitangazwa kwa Kiswahili, niliandika Barua kwa Kiingereza, niliitwa.
Atumie Kiingereza maana hata kwenye mikando ndicho kinachotumika.
Otherwise, muongozo wa lugha ya kuandika barua utolewe kwenye tangazo
Waidhinishe nn mkuu, ni ukiritimba tu unafanyika pale ndo maana Rais na Waziri wake wamewachana live.Hadi waidhinishe matokeo ya Taasisi flani ndo waweze kutoa mkeka.. sasa watatoaje mkeka bila ya matokeo ya taasisi flani kuidhinishwa. .?
Tutulie kama umeandikiwa kuwepo utakuwepo tu. let wait and see, it is just the matter of time.
Mimi nipo kwenye Uzi huu...Jamani chungulieni huko Utumishi hakuna pdf yoyote ya placements.
mazaga one umekuwa adimu.
@Mfwende nae sijui kaenda Uhamiaji
Twinawe ndo kakimbia jahazi kabisa baada ya TRA kumtosa
Tupe update mkuu, hakuna placement huko?Mimi nipo kwenye Uzi huu...
Nadhani mpaka wiki lijalo Kaka...Tupe update mkuu, hakuna placement huko?
Mkuu wavumilie tuu, nafikiri mishahara yao ilitakiwa ilipwe kulingana na target na wawe na bonusesJamaa wanafeli sana
Umeambiwa hawana bonus...?Mkuu wavumilie tuu, nafikiri mishahara yao ilitakiwa ilipwe kulingana na target na wawe na bonuses
Mkuu wavumilie tuu, nafikiri mishahara yao ilitakiwa ilipwe kulingana na target na wawe na bonuses
Mkuu mi nipo hapa kila dk ila content ndo nimeishiwa za kupostJamani chungulieni huko Utumishi hakuna pdf yoyote ya placements.
mazaga one umekuwa adimu.
@Mfwende nae sijui kaenda Uhamiaji
Twinawe ndo kakimbia jahazi kabisa baada ya TRA kumtosa
Nan kasema kuna kauchawi flan hv zikipita week 3 utakuta unaangalia Status tuSITACHECK STATUS HAD PDF IJE
160K/WEEKHiv salary scale yake imekaa vipi