HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hivi huwa kuna mkeka wa database?
Nijuavyo mimi database unawekwa kama back up tu,ikitokea nafasi unapewa na isipotokea ndani ya miezi 8 mwaka mmoja jina lako linaondolewa huko database.
.

Sahihi, ila mtoa mada nafikiri amerefer ahadi ya Mh. Waziri, lakini umeweka point kubwa too much expectation inaendana na big disappointment.
JamiiForums204434948.jpg
 
Sahihi, ila mtoa mada nafikiri amerefer ahadi ya Mh. Waziri, lakini umeweka point kubwa too much expectation inaendana na big disappointment.View attachment 2518889
Ok,sikuwa nimemuelewa.
Lakini pia inabidi asijipe matumaini makubwa coz mpaka sasa hana uhakika kama yuko database or not kwa sababu hakuna kiashiria chochote ambacho utumishi huwa wanakitoa kukujulisha kuwa uko database.
 
Hivi huwa kuna mkeka wa database?
Nijuavyo mimi database unawekwa kama back up tu,ikitokea nafasi unapewa na isipotokea ndani ya miezi 8 mwaka mmoja jina lako linaondolewa huko database.
So huwezi kusema eti watoe mkeka wa database, kwanza hapo ulipo hujui kama uko database or not na pia hujui kama kuna nafasi inayoendana na kada yako or not.
Ushauri wangu, endelea na mambo mengine tu,ikitokea chance huko na kama uliwekwa database watakucheck kukujulisha.
NB:kufika oral sio sababu ya kuwekwa database,unaweza ukafika oral na ukaperform poor hivyo huwezi kuwekwa database.
ndo maana nikasema watoe ili tujue mbivu ni zipi na mbichi ni zp
 
Na tangu 2019 amefanya oral mbili tu yani ya tra na ile ya Nov 23 ya mda na lga nazo sijui atapata ila alhamdulilah kwa hili hata wako atapata tu siku 1

Amina, asante sana madam. Wakwangu hajawahi kujanyaga Oral kabisa, japo darasani yuko vizuri sana na kuna saili huwa anatoka akiwa na uhakika mkubwa ila matokeo yakitoka hola ....
 
Leo ni Kama vile wamekurupishwa Na kulazimika kutoa majina ambapo mashaka ni mengi!

Huenda hawakujiandaa kutoa yale majina, huenda watu genuine wameachwa sababu ya zimamoto style ya kulazimika kutoa yale majina.

Kuna watu wana cv GPA za vyuo vya kueleweka wameachwa! Imagine!

Bora ivunjwe ijulikane moja maana miueyusho tu!

Hahahahaha! Kwamba kuna vyuo visio vya kueleweka. Sawa kamanda, ila Serikali ni ya wote hata hao wa vyuo visivyoeleweka, cv za kuunga unga, na gpa ndoto nao wanategemea ajira za Serikali kwa kuwa sekta binafsi wanaishia kuteseka ila hawapati bila ya connection.
 
Amina, asante sana madam. Wakwangu hajawahi kujanyaga Oral kabisa, japo darasani yuko vizuri sana na kuna saili huwa anatoka akiwa na uhakika mkubwa ila matokeo yakitoka hola ....
Aendelee kupambana bila kuchoka, muda wake wa kupata utafika tu.
 
Sekretarieti ya Ajira kilio Cha Vijana wengi ni kuchelewa kwa placements tu.
Mfano Leo UT wametoa Majina ya Mafunzo mtu hajui mpaka Sasa aelekee wapi.Ihali unakuta tayari alifanya usaili na Kwenu.Hili linaenda kuleta utata Kwa vijana wengi,hata PT nao wakitoa PDF la kuhudhuria mafunzo Bado kama nyie mtakuwa hamjatoa PDF la placements za mwaka Jana mtu hatoelewa aende wapi.
PSRS tunawapenda na tunapenda Ajira zote iwe Mkataba au Permanent muendelee kaujiri ninyi,kwani ninyi ndio kimbilio la wengi.
Tunawaomba tu baada ya Kauli ya Mhe.Rais iwe chachu ya nyie kutoa Placement haraka baada ya saili kukamilika.
Leo Kuna rafiki Yangu kapata UT ila alifanya usaili wa Utumishi November 2022 mpaka Sasa hajui aelekee wapi anawasubiri nyie tu mtoe placement kama yupo au hayupo ndio ajue pakuelekea.

Tunaombeni placements za mwaka Jana November na December huko kama ziko tayari ipi tuchague kwa kwenda Either UT,PT au Taasisi za Umma.
Sekretarieti ya Ajira
 
Vijana mliopata TRA bila shaka mtaenda TRA na hata kama mmepata UT najua machaguo mshafanya tayari...
Hongereni sana na safari Njema kwenye kufuata Barua za kuripoti kazini kwenu.Mkawe watumishi wema,msiingie tamaa za kutaka maisha ya haraka.Tendeni Haki,fuateni miongozo na Taratibu za kazi vyema.Msipokee Rushwa basi mtadumu kazini,na kuweni wazalendo.
#kazi iendelee
 
Sekretarieti ya Ajira kilio Cha Vijana wengi ni kuchelewa kwa placements tu.
Mfano Leo UT wametoa Majina ya Mafunzo mtu hajui mpaka Sasa aelekee wapi.Ihali unakuta tayari alifanya usaili na Kwenu.Hili linaenda kuleta utata Kwa vijana wengi,hata PT nao wakitoa PDF la kuhudhuria mafunzo Bado kama nyie mtakuwa hamjatoa PDF la placements za mwaka Jana mtu hatoelewa aende wapi.
PSRS tunawapenda na tunapenda Ajira zote iwe Mkataba au Permanent muendelee kaujiri ninyi,kwani ninyi ndio kimbilio la wengi.
Tunawaomba tu baada ya Kauli ya Mhe.Rais iwe chachu ya nyie kutoa Placement haraka baada ya saili kukamilika.
Leo Kuna rafiki Yangu kapata UT ila alifanya usaili wa Utumishi November 2022 mpaka Sasa hajui aelekee wapi anawasubiri nyie tu mtoe placement kama yupo au hayupo ndio ajue pakuelekea.

Tunaombeni placements za mwaka Jana November na December huko kama ziko tayari ipi tuchague kwa kwenda Either UT,PT au Taasisi za Umma.
Sekretarieti ya Ajira
Mkuu hizi nguvu unazotumia hapa kuulizia pdf, kama ni kusali sali sana likitoka uwemo, usipokuwemo utakua na machungu na masikitiko mara dufu. Unaweza ukakataa, lakini ni wazi inaonekana uko na matarajio makubwa jina lako kuwemo.

Tunakuombea likitoka pdf uwemo.
 
Amina, asante sana madam. Wakwangu hajawahi kujanyaga Oral kabisa, japo darasani yuko vizuri sana na kuna saili huwa anatoka akiwa na uhakika mkubwa ila matokeo yakitoka hola ....
Kuna mtu namjua kabisa nae kapiga interview nyingi mno na bahati nzuri alikuwa anafanikiwa kuingia oral karibu robo 3 ya interview alizofanya hadi tukawa tunahisi au Ana overconfidence maana ye kasoma sheria ....si unajua tena wanasheria huwa wanajiamini sana lakini wakati wake umefika kapata za tra custom
 
Hahahaha Mkuu Huwezi kuwa na matarajio makubwa ya kitu ambacho hujui kama umefaulu au umefeli.
Matarajio huwa kwenye Written Interview tu.Hatua hii huwa ya Kumuachia Mungu....
Nashukuru Kwa maombi yako pia.

Lakini kwani nilichokiongea Hapo kama kijana mwenzako ni Makosa??
 
Kuna mtu namjua kabisa nae kapiga interview nyingi mno na bahati nzuri alikuwa anafanikiwa kuingia oral karibu robo 3 ya interview alizofanya hadi tukawa tunahisi au Ana overconfidence maana ye kasoma sheria ....si unajua tena wanasheria huwa wanajiamini sana lakini wakati wake umefika kapata za tra custom
Kila jambo na Wakati wake.Wakati ukifika hutumii nguvu,ila kama Wakati wako Bado utasubiri mpaka Wakati ufike.
 
Back
Top Bottom