Orosso
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 962
- 2,308
Hiyo ni kwa mustakabali wako na afya yako. Nimekupa tu angalizo haya mambo si ya kushikilia sana bango, yakija ndivyo sivyo inaumiza mnoo.Hahahaha Mkuu Huwezi kuwa na matarajio makubwa ya kitu ambacho hujui kama umefaulu au umefeli.
Matarajio huwa kwenye Written Interview tu.Hatua hii huwa ya Kumuachia Mungu....
Nashukuru Kwa maombi yako pia.
Lakini kwani nilichokiongea Hapo kama kijana mwenzako ni Makosa??
Kama kijana mwenzangu hakuna makosa kuulizia m-pdf wa placement, ni haki yako maana umeshatimiza wajibu wako katika kuhudhuria na kushiriki katika mahojiano.