HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
ni kweli kabisa , tuwaoneshe kuwa tumeyapokea matokeo kwa uchanya wake, na pia tumejifunza mengi kupitia usaili

nachelea kuitizama katika kuwa hasi sababu alisema wazi ni kivipi unaajiri wakati kuna wafanyakazi hewa kibao? zoezi la kuwaondoa liliondosha mzigo kwa serikali ambao ndio unatumika kuajiri wengine ili kuleta ufanisi zaidi
Hilo liliku chaka tu, angesema tu ukweli kwamba hana uwezo wa kulipa.

By the way, wagebill haikushuka pamoja na hizo propaganda zote
 
Mim nataka kujua implications ya hzi status huwa zina maana gani:selected for oral, selected for practical n selected for null.....na inakuwaje mtu hawez kujua if Yuko in database au hayupo?mwenye kujua anijuze wandugu @Sekretariati ya Ajira
 
moja ya mbinu ya kuwasagia kunguni utumishi, ni kuendelea kuwa tag viongozi mbalimbali wa nchi, na media kubwa huko instagram. nje na hv tutapiga written june 2023 - results mei 2024.
Kweli kabisa hawa utumishi ni wakuwasagia kinguni tu..

Subrah ipo Ila hizi zimepitiliza na zinawatesa watu.

Vijana pazeni sauti msikubali kupokolewa haki zenu kama hizi,
Me ndio nishamwambia hivyo Niko zangu Shamba huku nalima Ufuta na Maisha yanakwenda, nyie Endeleeni kusubiria placements ndani ya mwaka mzima halafu hata tarehe ya kutoka hamuijui
 
hahaaa mkuu
 
Nimepata ajira ya TRA, Sina connection, sina ndugu anaefanya kazi serikalini, sina ninaemjua utumishi, sikuvujishiwa mtihani, sikujua maswali ya oral.. Nilijiandaa vizuri mengine nikamuachia mungu.. Utumishi Wapo Fair.
yes wapo fair kama umepata, kama mtu amekosa hawezi sema ni fair kama hayo mambo ya nyaya yapo
 
Hongera kwa walio pata kazi mlio kosa msikate tamaa mapambano yana endelea mpaka kieleweke kukata tamaa ni kushindwa na kuanguka ni safari mpya ya kuamka na kuanza mapambano
 
mzee umefananisha ID,
Wizy na weeezy kuna tofauti mkuu. 🤣🤣🤣

Am joking ila ili jina ilifaa li comment kabla sijajiunga kwenye huu uzi coz maswaibu yote yalioniangukia yange kukuta.

Mm mi muhanga w kufananishw ID.
 
Back
Top Bottom