BNprojects
Senior Member
- Dec 14, 2022
- 147
- 371
ukicheki ID sijacomment sana tangia nime join jamii forum. pole sana kwa kufananishwa😂😂Wizy na weeezy kuna tofauti mkuu. 🤣🤣🤣
Am joking ila ili jina ilifaa li comment kabla sijajiunga kwenye huu uzi coz maswaibu yote yalioniangukia yange kukuta.
Mm mi muhanga w kufananishw ID.
Yaaani unacheka kama wizy kabisa. Are u sure sio wew🤣🤣🤣🤣🤣ukicheki ID sijacomment sana tangia nime join jamii forum. pole sana kwa kufananishwa😂😂
hahahYaaani unacheka kama wizy kabisa. Are u sure sio wew🤣🤣🤣🤣🤣
mzigo upi[emoji134]mzigo wa mb huo, jioni ya leo
Haswa , na vyuo vinazalisha jobless kila siku ,private sector ya nchi hii dumavu na isiyo kuwa na contribution kubwa kama inavyo takiwa ili kuabsorb hao jobless wanaobakia ,kuna issues alifanya zinachochea kuua hata vikampuni vidogo vya wakandarasi mfano sekta ya ujenzi , graduate engineers wengi walijishikiza kwenye hivyo vikampuni sasa mzee baba magu alivyo leta command policies kama zile force account na kuweka uzibe kwa wakandarasi basi hata miradi michache waliyokuwa wanapata zamani wakazibiwa na wakakosa ,miradi wanapewa kampuni za kigeni na Suma JKT ,basi tafrani tupu , ni vyema graduates wakajitune kisaikolojia la sivyo ,watu watateseka mno kitaa.Hali inatisha sana.
Umeutazama uchumi kwa uhalisia wake, amini, hapa nchini, sekta binafsi ingekua inakua na kuwa imara, hata hili la watu kushukuru na kuona kama miujiza kupata kazi serikalini isingekuwepo.Haswa , na vyuo vinazalisha jobless kila siku ,private sector ya nchi hii dumavu na isiyo kuwa na contribution kubwa kama inavyo takiwa ili kuabsorb hao jobless wanaobakia ,basi tafrani tupu , ni vyema graduates wakajitune kisaikolojia la sivyo ,watu watateseka mno kitaa.
Bwana magu alitengeneza jinamizi linalotafuna vijana kwa sasa ,na effects za hii issue itachukua miaka kuisolve unless juhudi za makusudi hazifanyiki .
Una madini sana Mkuu.Umeutazama uchumi kwa uhalisia wake, amini, hapa nchini, sekta binafsi ingekua inakua na kuwa imara, hata hili la watu kushukuru na kuona kama miujiza kupata kazi serikalini isingekuwepo.
Sekta binafsi ndo hivo iko duni, matokeo yake waajiri wame-take advantage, wanalipa ujira mdogo, na mikataba mifupi mifupi yenye kuleta pressure tupu.
Mkuu, kitaa moto sana, nature japo nature ya kibinadamu mwenye kitengo anaweza ona watu flani wako katika situation ngumu kwa uzembe tu.Una madini sana Mkuu.
umenena vyema mkuuHaswa , na vyuo vinazalisha jobless kila siku ,private sector ya nchi hii dumavu na isiyo kuwa na contribution kubwa kama inavyo takiwa ili kuabsorb hao jobless wanaobakia ,kuna issues alifanya zinachochea kuua hata vikampuni vidogo vya wakandarasi mfano sekta ya ujenzi , graduate engineers wengi walijishikiza kwenye hivyo vikampuni sasa mzee baba magu alivyo leta command policies kama zile force account na kuweka uzibe kwa wakandarasi basi hata miradi michache waliyokuwa wanapata zamani wakazibiwa na wakakosa ,miradi wanapewa kampuni za kigeni na Suma JKT ,basi tafrani tupu , ni vyema graduates wakajitune kisaikolojia la sivyo ,watu watateseka mno kitaa.
Bwana magu alitengeneza jinamizi linalotafuna vijana kwa sasa ,na effects za hii issue itachukua miaka kuisolve unless juhudi za makusudi hazifanyiki .
aachie na mkeka wa database tujue mbivu na mbichiKwel rais wa jamhuri ana nguvu yani baada tu ya mama kumaliza speech mzee wa flash alitoka nduki nyingi heahea katafta flash ilipo akapakia mkeka wa tiaraei hahaha hii nchi ngumu sana
Jana J. mhagama alikuwepo kule Dom na Bwana Kitenga nadhari, Lile pdf la vumbivumbi liko njianiaachie na mkeka wa database tujue mbivu na mbichi
hatar au watakua wanapiga simu na kutuma meseji niniJana J. mhagama alikuwepo kule Dom na Bwana Kitenga nadhari, Lile pdf la vumbivumbi liko njiani
Mkuu Kuna saili yoyote ulifanya then unahisi upo kwa database..?hatar au watakua wanapiga simu na kutuma meseji nini
ndio mzeeMkuu Kuna saili yoyote ulifanya then unahisi upo kwa database..?
Raisi wetu kipenzi, pitia huku uone maoni ya wananchi juu ya #ajira utumishi#Haswa , na vyuo vinazalisha jobless kila siku ,private sector ya nchi hii dumavu na isiyo kuwa na contribution kubwa kama inavyo takiwa ili kuabsorb hao jobless wanaobakia ,kuna issues alifanya zinachochea kuua hata vikampuni vidogo vya wakandarasi mfano sekta ya ujenzi , graduate engineers wengi walijishikiza kwenye hivyo vikampuni sasa mzee baba magu alivyo leta command policies kama zile force account na kuweka uzibe kwa wakandarasi basi hata miradi michache waliyokuwa wanapata zamani wakazibiwa na wakakosa ,miradi wanapewa kampuni za kigeni na Suma JKT ,basi tafrani tupu , ni vyema graduates wakajitune kisaikolojia la sivyo ,watu watateseka mno kitaa.
Bwana magu alitengeneza jinamizi linalotafuna vijana kwa sasa ,na effects za hii issue itachukua miaka kuisolve unless juhudi za makusudi hazifanyiki .
Wizy acha bangi 😂😂😂 umeamua kufungua account nyingine!Yaaani unacheka kama wizy kabisa. Are u sure sio wew🤣🤣🤣🤣🤣
Hivi huwa kuna mkeka wa database?aachie na mkeka wa database tujue mbivu na mbichi
Mkeka wa database upo na ndio maana waziri alisema kuanzia mwezi huu wataajiri kupitia databaseHivi huwa kuna mkeka wa database?
Nijuavyo mimi database unawekwa kama back up tu,ikitokea nafasi unapewa na isipotokea ndani ya miezi 8 mwaka mmoja jina lako linaondolewa huko database.
So huwezi kusema eti watoe mkeka wa database, kwanza hapo ulipo hujui kama uko database or not na pia hujui kama kuna nafasi inayoendana na kada yako or not.
Ushauri wangu, endelea na mambo mengine tu,ikitokea chance huko na kama uliwekwa database watakucheck kukujulisha.
NB:kufika oral sio sababu ya kuwekwa database,unaweza ukafika oral na ukaperform poor hivyo huwezi kuwekwa database.