HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Thank u champ,utumishi sio priority yangu kabisa. lkn inaonekana kuna ugumu sana kutusua upande wa vyombo vya ulinzi
Mungu ni mwema Mkuu, haujui chenye kheri ni kile Mungu atakupangia Mkuu, najua majeshi hayajawahi kutuacha salama hutuachia element za kijeshi kutaka kuishi kwa kufanana na kuendenenda katika miiko yao ila yapo maisha nje ya majeshi na ni mazuri sana.
 
Ahsante kiongozi, kzuri ni kwamba na moyo mpana nimeiva kwenye upokeaji wa taarifa ziwe positive ama negative side
 
depression,rejection majobless inatutafuna sana,hpa tunapeana mioyo bt uhalisia huku street haloo. ukicheki home hapako freshi ,mahusiano yanasua sua . kukimbiwa na demu wangu kumefika sasaa
Muache aende mruhusu aende yaani kama umemuelezea situation akaona bora aende muache aende Mkuu, una maisha mazuri ahead utapata wa kufanana na wewe ila akikikuvumilia katika hii transition period hakikisha unamuenzi unapokuwa kwenye mafanikio.
 
Noted champ
 
depression,rejection majobless inatutafuna sana,hpa tunapeana mioyo bt uhalisia huku street haloo. ukicheki home hapako freshi ,mahusiano yanasua sua . kukimbiwa na demu wangu kumefika sasaa
Eeeht Mahusiano yanasua sua 🤣🤣🤣 nimecheka sn maana km kuna Ukweli Flani kila Siku nikikandwa napewa Ushauri mrefu sana.
 
depression,rejection majobless inatutafuna sana,hpa tunapeana mioyo bt uhalisia huku street haloo. ukicheki home hapako freshi ,mahusiano yanasua sua . kukimbiwa na demu wangu kumefika sasaa
Ni kweli mkuu Ni nyakati ngumu sana za mpito, nina washkaji zangu wawili nao walitoswa na wenzi wao ila saivi wako vizuri kiuchumi na wake zao wapya, disapoit pia ni chanzo kizuri cha kukupush kwenye maendeleo kama itatokea usiwaze Mkuu mambo yatakaa tu
 
oral ya tatu hii naona Mungu kanipangia kuwa winga tuu mjini ili watoto waishi ila si haba wacha niongeze nguvu huku kungine
Unapokuwa na nafasi usisite kufanya wala usisite kutuma Maombi kila uonapo Tangazo Japo unapofanya hivyo usizingatie fanya km unatoa Lawama U nvr knw nini kitatokea.
 
mie nmekandwa na kma data base hawajaniweka basi tena maana cwezi kwenda dodoma kupoteza pesa daily.naendelea na udalali wangu tuu mpka mwisho.Status selected for practical
Mkuu hakuna kukata tamaa hata mimi nimefanya niteview nne na nne sikuwa shortlisted moja tu ndio nimefanikiwa kuingia oral bado nasubiria hata ikitokea nimekandwa sitokata tamaa kikubwa ukiitwa nenda hatujui Kesho Mkuu, ukiitwa nenda mkuu
 
Back
Top Bottom