Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

HAKUNA ANAYEPOTOSHA HAPA.

NIMEKUPA FACTS UKABAKI UNAMBWELA MBWELA TU NA VIHEKAYA VYAKO VYA GOMORA.
Kuwa makini, usifikiri ni rahisi kupotosha watu wanaojielewa fanya ushoga kwa uharibifu wa nafsi yako mwenyewe
 
Njoo nikupe wa kutifua huo mtaro wako if you think it's funny...
Mk*undu hauna kilainishi kama cha K, hilo eneo lina nerve endings nyingi hivyo maumivu ni lazima labda utumie kilainishi, hilo eneo lina misuli ya kuzuia nya isijitokee, kukiburuzwa sana mtu anapoteza uwezo wa kubana mavi, ni rahisi sana hilo eneo kupata michubuko na kusambaza magonjwa.
Mwisho kabisa ni asili kiumbe mke kuingiliwa na me.... no wonder wanaume wa kuanzisha nao mahusiano wamekua adimu sababu wengine mamarioo wengine wafiranaji hata k hawaoni kama ni ishu. One f your sons should be gay.
BLAH BLAH BLAH BLAH BLAH BLAH BLAH

SHUT UP!
 
ANZA KUNISOMA UPYA.
Nimesoma kuanzi comment yako ya kwanza mpaka ya mwisho na kuna maswali yangu ya nyuma hujayajibu.Wewe ulisema unaabudu mti ,nikakuuliza hao waabudu MITI WANARUHUSU USHOGA KATIKA IMANI YAO ? ukanijibu hujui.Sasa wewe hukijui unachokiabudu,sasa si itakuwa kama wale wanaofuata mkumbo.Sio ujanja ukifanyacho ni upuuzi .
 
MANGI.......SIO KILA MTU ANAAMINI KWENYE HUYO MUNGU WAKO.
Ni kweli. Lakini naamini kila aliyeumbwa anachukia usodoma maana tumerithi toka kwa muumbaji. Biblia agano LA kale = msahafu Wa kiislam Na hilo wote tunalijua.
 
Shoga anahitaji matibabu ya kiroho na kitabibu.
Serikali hata iweke sheria haitafanikiwa. Wanaowapinga hata wakiwarushia mawe hawatafanikiwa.
Point yangu kubwa ni hiyo..so mnaodhani natetea ushoga ni kwamba hamjanielewa. Wengi wanaopinga wanapinga tu juu hamfikirii yule shoga ni kwanini amekuwa vile. Wanahitaji msaada zaidi ya kunyooshewa vidole.
Hatujaambiwa tu hukumu,lakni tumeambiwa tukemee.Sijajua dini yako lakini mimi ni mkristo kwa kubatizwa kwangu nimpaka mafuta so nimefanywa kuwa nabii,nikapewa mshumaa nikangaza neno la Mungu.Niwajibbu wangu kukemee nionapo tabia ipo kinyume na mafundisho sababu mimi ni Nabii,hata Yesu alikemea dhambi na kuwakemea waiotaka kubadilika,Elia naye alikemea dhambi na kukemea wasio badilika.

.Kwa hiyo wewe ni wajibu wako kuhubiri,kufundisha,kurekebisha na kukemea na si kuhukumu.Mimi siwezi kuignore ushoga ever ,niatongea seheemu yote nitakemeea na kukosoa kwa sababu mamlaka hayo nimepewa kupitia upatizo wangu na si kosa kwa imani yangu.Shoga kweli ni binadamu na kweli na Mungu hataki bindamu yoyote apotee,so kwa imani uliyopewa ni wajibu wako kumrudisha katika kundi ,ikishindikanaa ikemee tabia yake wazi wazi ili watu wengine wajue ni kosa mbele za Mungu.
 
Nimesoma kuanzi comment yako ya kwanza mpaka ya mwisho na kuna maswali yangu ya nyuma hujayajibu.Wewe ulisema unaabudu mti ,nikakuuliza hao waabudu MITI WANARUHUSU USHOGA KATIKA IMANI YAO ? ukanijibu hujui.Sasa wewe hukijui unachokiabudu,sasa si itakuwa kama wale wanaofuata mkumbo.Sio ujanja ukifanyacho ni upuuzi .
UMEJUAJE KAMA MTI NINAOUABUDU HAURUHUSU USHOGA?
 
BLAH BLAH BLAH BLAH BLAH
Unapofanya interaction na watu kwenye jamii unafikiri wamezaliwa kwa njia ya ushoga. Niwekee hapa ushahidi wa mtu ambaye alishazaliwa kwa wanaume kuingiliana kimaumbile ili tuone blah blah ni ipi
 
WEWE BAKI NA BIBLIA ZAKO MANGI, HAKUNA ALIYEKUKATAZA.

LAKINI USINILAZIMISHE KUNILISHA HIVYO VIFUNGU VYAKO.

TUMEELEWANA?
Ni kweli. Lakini naamini kila aliyeumbwa anachukia usodoma maana tumerithi toka kwa muumbaji. Biblia agano LA kale = msahafu Wa kiislam Na hilo wote tunalijua.
 
AGAIN, BLAH BLAH BLAH BLAH..

SHUT UP!
Unapofanya interaction na watu kwenye jamii unafikiri wamezaliwa kwa njia ya ushoga. Niwekee hapa ushahidi wa mtu ambaye alishazaliwa kwa wanaume kuingiliana kimaumbile ili tuone blah blah ni ipi
 
USHOGA HAUNA MADHARA YOYOTE KWA MTU WA TATU.

HIYO NDIYO FALSAFA KUU YA UTETEZI KUHUSU USHOGA.

HAUNA MADHARA KABISA KWA MTU WA TATU.

HAKUNA MADHARA KABISA KABISA KWA NAMNA YOYOTE .
Umelezea simple Sana, kama ungefikiria kwa ndani kidogo tu kama mtu mwenye ndugu, baba Mwenye watoto au mategemeo ya kuwa baba usingeongea kirahisi hivyo. Mambo maovu yakiachiwa bila kukemewa yanasambaa kwa ushawishi wa wale waliomo. Na yanaweza ingia mpaka nyumbani kwako. Ngoja nikuilize, cku ukikuta mzee wako, kaka yako, mjomba wako na kijana wako wanafirwa utasema hayakuumizi kwa sababu we ni Third person?
 
WEWE BAKI NA BIBLIA ZAKO MANGI, HAKUNA ALIYEKUKATAZA.

LAKINI USINILAZIMISHE KUNILISHA HIVYO VIFUNGU VYAKO.

TUMEELEWANA?
Kama una mtoto wa kiume au wa ndugu yako halafu ukashuhudia ni shoga Na anakuletea mume nyumbani anamtambulisha mchimba mtaro bado utashangilia? Sijui. Uwe na Amani.
 
Back
Top Bottom