Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Kwanini Ushoga unauma kuliko lolote!?

Sifa ya imani ni kuishi magizo na maneno yake na wewe umesema na kukubali (NDIO) mti unao uabudu unaruhusu ushoga,Kwa HIYO WEWE SHOGA?
SIO KILA KINACHORUHUSIWA LAZIMA UKIFANYE.

HUKO KWENYE HIYO DINI YENU YA WAZUNGU SI MMERUHUSIWA KUNYWA POMBE NA KUOA WANAWAKE WANNE??

NI WANGAPI WANAOFANYA HAYO?
 
Asili ipi ya uumbaji na kwa mujibu wa nani?
Sisi tuna akili kuliko wanyama sasa jiulize kama sisi tunaakili kuliko wanyama mbona hao wanyama wasio na akili hawafanyi upuuzi huo iweje sisi wenye akili timamu tufanye ujinga huu?
 
BLAH BLAH BLAH BLAH BLAH..

SHUT UP!
Kama una mtoto wa kiume au wa ndugu yako halafu ukashuhudia ni shoga Na anakuletea mume nyumbani anamtambulisha mchimba mtaro bado utashangilia? Sijui. Uwe na Amani.
 
MBONA WALE SIMBA MADUME WA NGORONGORO VIDEO YAO ILILETWA HUMU IKIONESHA WANABASHIANA LAKINI MKAISHIA KUTOKA MAPOVU TU?

KWANI MNAAMINI KITU NYIE?
Sisi tuna akili kuliko wanyama sasa jiulize kama sisi tunaakili kuliko wanyama mbona hao wanyama wasio na akili hawafanyi upuuzi huo iweje sisi wenye akili timamu tufanye ujinga huu?
 
Ni vita ya kiroho kati ya ufalme wa giza ukiongozwa na shetani na mawakala zake na ufalme wa nuru ukiongozwa na Yesu na wafuasi wake
Nakubaliana na wewe kuwa ni vita ya kiroho si ya kibinadamu.
 
Sasa ndugu yangu, hizo hadithi za kale za adam na hawa za kwenye biblia si kwa ajili ya nyie wakristo??

Mimi sio mkristo mkuu!
Ok kama we si Mkristo kwa mujibu wa sheria za Tanzania ni kosa kwa yule anayeingilia mwenzie au anayeingiliwa wote wapasiwa hukumu.
 
Nataka nipate majibu ya kitaalamu kuhusu uchungu mioyoni mwa watu juu ya ushoga.

Mjadala huu usihusishwe kwa vyovyote na mambo ya uswahili swahili na dini zilizokuja na meli. Nchi hii ni SECULAR hivyo kila mtu ana imani yake. Zile hadithi za kale za sodoma na Gomora waweza kuzitupa jalalani!

Nahitaji nijue falsafa juu ya hasira zinazosababishwa na kusikia fulani ni shoga!?? Utasikia, fulani ni shoga huyu, analeta ukame nchini.. . (Hahhahahaa)

Ok.. let's go!

Hivi watu wawili wakiamua kuffirrana kwa hiari yao, kwanini liwe ni jambo la ajabu sana!?

Hawajamuibia mtu, hawajamtesa mtu, hawajakwapua mali ya umma.....???? Wanatumia miili yao tu kwa hiari yao!

Kuna shida gani mtu akitumia mwili wake jinsi apendavyo??
Uulize pia kwa nini chakula kipitishiwe mdomoni na sio masikioni.
Pia ujiulize kwa nini binadamu hali mawe kama chakula.
Pia kwa nini mwanamke anapata hedhi( katika umri Fulani).
Mwisho,mtafute Mungu kama utafanikiwa kumpata umuulize( kulawiti kunaruhusiwa)?ASANTE
 
SIO KILA KINACHORUHUSIWA LAZIMA UKIFANYE.

HUKO KWENYE HIYO DINI YENU YA WAZUNGU SI MMERUHUSIWA KUNYWA POMBE NA KUOA WANAWAKE WANNE??

NI WANGAPI WANAOFANYA HAYO?
Hawajaoa ndio ,lkn kwa mujibu wa imani yao wanaruhusiwa kuoa si dhambi,hawanyi ndio lakini kwa mujibu wa imani yao wanaruhusiwa kunywa si dhambi,kwa hiyo wewe ndio kwa mujibu wa IMANI YAKO SI UNAWEZA UKAWA SHOGA KWANI ,KWA MUJIBU YA MAFUNDISHO YENU NYINYI WA ABUDU MTI SI DHAMBI KUWA SHOGA.
 
NDIO.
Hawajaoa ndio ,lkn kwa mujibu wa imani yao wanaruhusiwa kuoa si dhambi,hawanyi ndio lakini kwa mujibu wa imani yao wanaruhusiwa kunywa si dhambi,kwa hiyo wewe ndio kwa mujibu wa IMANI YAKO SI UNAWEZA UKAWA SHOGA KWANI ,KWA MUJIBU YA MAFUNDISHO YENU NYINYI WAABUDU MTI SI DHAMBI KUWA SHOGA.
 
Yaani hilo swali hukutakiwa kujiuliza hapa, ungemuita baba yako ukamuinamia tu.
Wanapambania ufirauni wao wanaouita haki kwa hisani ya wazungu wenye malengo yao ya miaka mingi mbele.
Usishangae miaka ijayo serikali ikaja kusaini mikataba mibovu ya kuporwa rasilimali zetu kwaajili ya kupata dawa za kuwatibu hao wasengerema ugonjwa wao unaotokana na usodoma wao.
 
We acha2 mi nkiona mwanaume mwenzangu anafirwa naona kama nafirwa Mimi...ndomana sipendi alaf inauma inachukiza...masikio ni kwaajiri ya kusikilizia na ndo kazi yake .sasa ushaona kuna anaejaribu kupitisha chakula au mshedede pale??? Kwanini iwe kwenye steki bila mfupa??
 
Ok kama we si Mkristo kwa mujibu wa sheria za Tanzania ni kosa kwa yule anayeingilia mwenzie au anayeingiliwa wote wapasiwa hukumu.
HAUNA LOLOTE UNALOLIJUA KUHUSU JURISPRUDENCE AU LEGAL POSITIVISM.

WEWE NI LAYMAN TU.

KAA UTULIE.
 
Ok kama we si Mkristo kwa mujibu wa sheria za Tanzania ni kosa kwa yule anayeingilia mwenzie au anayeingiliwa wote wapasiwa hukumu.
Nani anawashtaki? Jamhuri?
 
Uulize pia kwa nini chakula kipitishiwe mdomoni na sio masikioni.
Pia ujiulize kwa nini binadamu hali mawe kama chakula.
Pia kwa nini mwanamke anapata hedhi( katika umri Fulani).
Mwisho,mtafute Mungu kama utafanikiwa kumpata umuulize( kulawiti kunaruhusiwa)?ASANTE
MLETE HAPA HUYO MUNGU WAKO NIMUULIZE!
 
Unahitaji ukombozi ndugu yangu, Mungu hakuumba adam na adam, aliumba adam na eve.

Nilichogundua ni kwamba hisia zako kishoga zina nguvu kuliko ukanyaji wa kibinadamu.

Mungu akuongoze uache kupumuliwa kisogoni.
Wacha tu wapumuliane ili ghala la shetani lisikose mavuno.
 
Back
Top Bottom