Semistocles
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,932
- 1,126
- Thread starter
- #241
HUNA HOJA.
Ukiwa kwenye nchi yoyote mwili wako unakuwa mali ya serikali ya hiyo nchi,hakuna eti mazali mwili wako basi uvute bangi,ulawitiwe,ujiue mazali roho na mwili ni vya kwako,umchinje mwanao mazali umemzaa wewe n.k kulawiti na kulawitiwa ni kosa kwa mujibu wa sheria za nchi yetu.
Wanaotetea wengi ni mashoga au wafiraji.