Kwanini upo single?
Mapenzi yamekushinda?
Hujaona faida yake?
Au upo single kwa sababu maalum?
Bila mapenzi, unadhani dunia ingekuwaje?
Je, wewe unaonaje maisha ya kuwa single? Ni uchaguzi wako, mazingira yamekulazimisha, au bado hujakutana na mtu sahihi? π€π
Sunday
ShesRise_1 π
Kwanini sasaUkipata nafasi ya kuwa singo usiipoteze
Natafuta wa kupiga nae stori tukikutana.Vp mkuuπ
Mkikutana wapiNatafuta wa kupiga nae stori tukikutana.
PM yangu ipo wazi Sasa
Hata kwenye Duka la mangiMkikutana wapi
Ooh sawa mkuuHata kwenye Duka la mangi
Afu habari za kuniita mkuu ziache ntakuzinguaOoh sawa mkuu
Unataka uitwe nani ?Afu habari za kuniita mkuu ziache ntakuzingua
RastaUnataka uitwe nani ?
kutokana na hali ya hewa. Dakika kupwa dakika kujaa.... yani mwezi mchanga.... mwezi wa 7 sasa si mchezo.Kwanini upo single?
Mapenzi yamekushinda?
Hujaona faida yake?
Au upo single kwa sababu maalum?
Bila mapenzi, unadhani dunia ingekuwaje?
Je, wewe unaonaje maisha ya kuwa single? Ni uchaguzi wako, mazingira yamekulazimisha, au bado hujakutana na mtu sahihi? π€π
Sunday
ShesRise_1 π
Imeisha hiyo RasiRasta
Sio Yule wa English course lakiniImeisha hiyo Rasi
Watu mnatoa wapi manenoπ πkutokana na hali ya hewa. Dakika kupwa dakika kujaa.... yani mwezi mchanga.... mwezi wa 7 sasa si mchezo.
Ni yupi huyo tenaSio Yule wa English course lakini
Rasi SimbaNi yupi huyo tena
π π Mtaalamu wa NgeriRasi Simba
Pole sana π’Mwanamke pekee niliyempenda kwa dhati kabisa ya moyo wangu aliniacha akaenda kwa mwingine,so since then sijaonaga tena sababu ya kumpenda mtu..huwa natafuta wa kupiga show tu then kila mmoja anaendelea na mambo yake.
Kwa nini unauliza "kwa nini upo single?"Kwanini upo single?