ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,111
- 40,420
- Thread starter
-
- #321
Huu ushauri sichukui ng'oo ππUna share tu ,hakafu kesho unaomba msamaha ulilewa ,simple tu.
Mimi sio bro.Usifanye mambo kua magumu bro leo ni weekend tunataka mijadala soft sio kuanza kuumiza kicwa tena π
Gudubaiii bintiMimi sio bro.
Mijadala soft ikoje?
Wewe kumbe kaogaHuu ushauri sichukui ng'oo ππ
Sana mambo ya ku type kishujaa huku nalia nyuma ya keyboard sitakiπππWewe kumbe kaoga
Ndio akili yako imeishia hapo.Gudubaiii binti
Basi wewe muogaSana mambo ya ku type kishujaa huku nalia nyuma ya keyboard sitakiπππ
Gademit nimekuita bro hutakiNdio akili yako imeishia hapo.
Hata baba yako unaweza muita binti.
Ndio na hii ni kwasababu napenda amani sanaBasi wewe muoga
Niko zaidi ya bro na kinyume cha binti.Gademit nimekuita bro hutaki
Binti hutaki sa unatakaje?
Anyway sorry π
Nyonyowa watu mkuu nyonyowa
Sawa mzee samahani bhna mi ulivyosema uko single nikadhani ni kijana kumbe age go samahani mkuuNiko zaidi ya bro na kinyume cha binti.
RunUkiwa na mahusiano unapangiwa matumizi?
Ngoja badae kidogo nilewe nikuzingue, ukose amaniNdio na hii ni kwasababu napenda amani sana
ππ umenishtua tayali so sitashtuka hataNgoja badae kidogo nilewe nikuzingue, ukose amani
Sawa
Maisha ni kama mfululizo wa kutatua matatizo.Sasa itakuaje baasi opoa yoyote yule
Madini tupu umemwaga watu wajiokotee β₯οΈMaisha ni kama mfululizo wa kutatua matatizo.
Unapokuwa unamalizana na moja, jingine tayari linafanya warm upπ
Tofauti si kukosa matatizo, bali kujifunza kuyakabili kwa hekima, uvumilivu na moyo wa kusonga mbele.π€πΌ
Ukiwa mtoto shida ni ada.Madini tupu umemwaga watu wajiokotee β₯οΈ
Usiogope, jf hakuna mzeeSawa mzee samahani bhna mi ulivyosema uko single nikadhani ni kijana kumbe age go samahani mkuu