Kwanini upo single?

Kwanini upo single?

Kwanini upo single?

Mapenzi yamekushinda?

Hujaona faida yake?

Au upo single kwa sababu maalum?

Bila mapenzi, unadhani dunia ingekuwaje?

Je, wewe unaonaje maisha ya kuwa single? Ni uchaguzi wako, mazingira yamekulazimisha, au bado hujakutana na mtu sahihi? 🤔💭

Sunday
ShesRise_1 🖐
Kuna janamke mmoja lilikuwa kwenye ndoa
Likaanze kuchepuka
Likaishia kuvunja ndoa yake
Kwa sasa linapenda kujirusha kwenye mabaa na umri wake miaka 50
Halafu linamuonea wivu wema sepetu.

Niamini ninaposema samia
Anaongoza vichaa.
 
Back
Top Bottom