ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,137
- 40,448
- Thread starter
-
- #221
Ukialikwa una alikika hata mimi naonaSi unajua leo siku ya kipaimara/komunio, sisi wengine hatukatai mialiko😀😀
Kikifa mtaalam wa kukifufua nipo, hizi ndio kazi za wazee wa hovyo 😁Anhaa bora kife tu 😄😄, mambo yasiwe mengi
Wine tenaaa ohoooo... mie yanguHuhuhuhu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hapa uwe na wine 🥰🥰
Yes we hutumii ?Wine tenaaa ohoooo... mie yangu
Ngoma za kitambo wapenda za zamani
Hapana mkuu, hizo tumewaachia watu wa Sinza kamanyora na Dar es Salaam kwa ujumla, sio wa mikoani zetu ni wanzuki na komoni 😅😅Yes we hutumii ?
Zetu sie wazee,milenialNgoma za kitambo wapenda za zamani
Hahaha, sitaki huko huko ulipokula ujana malizia uzee wakoKikifa mtaalam wa kukifufua nipo, hizi ndio kazi za wazee wa hovyo 😁
Oooh ok nyie kunyweni chimpumu🤣🤣Hapana mkuu, hizo tumewaachia watu wa Sinza kamanyora na Dar es Salaam kwa ujumla, sio wa mikoani zetu ni wanzuki na komoni 😅😅
Acha ukali🤣🤣Hahaha, sitaki huko huko ulipokula ujana malizia uzee wako
zilikuwa motoZetu sie wazee,milenial
Ukisikia unyanyapaa wa mtandaoni ndio huu sasa, kubaguana kwa kuangalia umri😅😅😅Hahaha, sitaki huko huko ulipokula ujana malizia uzee wako
Ndio hali yetu ya uchumi inaruhusu, ukiwa na buku jero unalewa hadi kujikojoleaa 😅Oooh ok nyie kunyweni chimpumu🤣🤣
my standards come with background checks and credit scores😅🤣🤣🤣🤣 simple life et dah
😂😂😂 si ndiyo hakuna namnaUkisikia unyanyapaa wa mtandaoni ndio huu sasa, kubaguana kwa kuangalia umri😅😅😅
Pampula haujamboSina sababu🤣
Nitakupa dunia ambayo hakuna wa rika lako anaweza kukupa, halafu mwanamke hadate na age mate, tafuta mtu 10+ akupe raha!😅😅😂😂😂 si ndiyo hakuna namna
Mweeeeh! Mie tena ni pampula🙆♂️🙆♂️🙆♂️Pampula haujambo