kweli mkuu af iyo ya mashakaji kuuliza uliza ndo huwa najitenga nao sam timeHadi mda huu kitu nilichogundua humu ndani:
Faida ya kuwa Single ni
Unapunguza matumizi ya pesa (kwa wanaume).
Unakuwa free kufanya chochote, sehemu yoyote, mda wowote na mtu yeyote bila kuulizwa ulizwa vimaswali.
Unakuwa hauna hofu ya kutendwa au kusalitiwa.
Unakuwa hauna Stress za mapenzi.
Hasara za kuwa Single ni:
Moyo Unatamani ukiona mwenzio kapendwa kwa dhati
Kero ya kuulizwaulizwa vijiswali na ndugu jamaa na marafiki kuhusu shemeji yao au wifi yao yu wapi mbona hawamuoni.
Unakua mtu wa kudate date tuuuuu.
Nataka kumpenda hadi akomehahahah hebu funguka unataka kumfanya nini asiye na nguvu hizo
Karibu kwangu..Niko single kwasbabu bado sijampata mwanaume ninaempenda.
Mwanamke pesa hazimfanyi kua single
mkuu kama vipi uzwa vyote (bakiza uzuri tu) afu uje kwanguZinamfanya sana ukiwa na pesa mwanamke ukweli ni ngumu kumpata the one me nimechoka manake kila anayekuja hata kama anauwezo anaanza kuwaza kumiliki ulivyo navyo na hawafichi ukweli ni kwamba hata wanaume wanatamani sana wenye mali i wish i could fly somewhere sometimes niishi low nipate mtu atakayenipenda nikiwa low 'hitimisho nipo singel coz kila mwanaume anayekuja anaonyesha kutamani nilivyo na si mimi despite of my beauty
Tatizo lako unawaonyesha kuwa unazo.Zinamfanya sana ukiwa na pesa mwanamke ukweli ni ngumu kumpata the one me nimechoka manake kila anayekuja hata kama anauwezo anaanza kuwaza kumiliki ulivyo navyo na hawafichi ukweli ni kwamba hata wanaume wanatamani sana wenye mali i wish i could fly somewhere sometimes niishi low nipate mtu atakayenipenda nikiwa low 'hitimisho nipo singel coz kila mwanaume anayekuja anaonyesha kutamani nilivyo na si mimi despite of my beauty
Hahahha tatizo sifa unazooo? Napenda mwanaume kibonge alie na kitambi flan hvKaribu kwangu..
Nipo single maana wenye upungufu wa nguvu za kiume hawajiweki wazi nikawafata
Nyumbani huko nduguNimeona binti wa kirombo at maana wilaya yetu inaitwa rombo ati
Ipo sanaaa unakaa wewe na wenzio bila kutikisikaChura je?ipo?![]()

Njoo kwangu nikuone mbuni yako usinishirikisheZinamfanya sana ukiwa na pesa mwanamke ukweli ni ngumu kumpata the one me nimechoka manake kila anayekuja hata kama anauwezo anaanza kuwaza kumiliki ulivyo navyo na hawafichi ukweli ni kwamba hata wanaume wanatamani sana wenye mali i wish i could fly somewhere sometimes niishi low nipate mtu atakayenipenda nikiwa low 'hitimisho nipo singel coz kila mwanaume anayekuja anaonyesha kutamani nilivyo na si mimi despite of my beauty
Pesa kwa wale walizoea kutoa! Lakini kwako kama huna Pesa weka swaga!Sio pesa???
Weka pichaIpo sanaaa unakaa wewe na wenzio bila kutikisika![]()
