The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,611
Zinamfanya sana ukiwa na pesa mwanamke ukweli ni ngumu kumpata the one me nimechoka manake kila anayekuja hata kama anauwezo anaanza kuwaza kumiliki ulivyo navyo na hawafichi ukweli ni kwamba hata wanaume wanatamani sana wenye mali i wish i could fly somewhere sometimes niishi low nipate mtu atakayenipenda nikiwa low 'hitimisho nipo singel coz kila mwanaume anayekuja anaonyesha kutamani nilivyo na si mimi despite of my beauty
Uza gari...
tumia daladala na bajaj na taxi
nyumba pangisha
pesa zako invest kwa siri kwingine huku ukiishhi low hivi kwa mda hadi umpate unaemtaka




