Hadi mda huu kitu nilichogundua humu ndani:
Faida ya kuwa Single ni
[emoji6]Unapunguza matumizi ya pesa (kwa wanaume).
[emoji9]Unakuwa free kufanya chochote, sehemu yoyote, mda wowote na mtu yeyote bila kuulizwa ulizwa vimaswali.
[emoji14] Unakuwa hauna hofu ya kutendwa au kusalitiwa.
[emoji11]Unakuwa hauna Stress za mapenzi.
Hasara za kuwa Single ni:
[emoji17]Moyo Unatamani ukiona mwenzio kapendwa kwa dhati
[emoji21]Kero ya kuulizwaulizwa vijiswali na ndugu jamaa na marafiki kuhusu shemeji yao au wifi yao yu wapi mbona hawamuoni.
[emoji16]Unakua mtu wa kudate date tuuuuu.