Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,216
- 39,910
50kUna sh ngapi???
50kUna sh ngapi???
Nashukuru kwa ushauri natamani ningeandika zaidi lakini some people will easily spot me kwa nature ya kazi na biashara nifanyazo .laiti lingekuwa gari tu kwa sasa siishi kwenye nyumba yangu wala sijaipangisha japo nimepanga nina panda boda daladala etc na magari nilipark kwa hasira coz the last guy ambaye nilihisi we can match tulikuwa tukiongea kwa simu anaulizia hbr ya magari nikambwaga its a year now sijasogelea mwanaume nimeamua sometimes we have to leave the nature ichukue mkondo wake
Hahahhaahha uwiiii, pole.umegusa mule mule, nina kitambi ambacho kila nikikomaa kipungue najikuta nashindwa, so nimeamua kuendelea kubaki nacho tu six pack siziwezi.
Angalia pmsijakuelewa rafiki
Usijali tutazima taa mamii.Niko single sababu ya aibu
Pole sana, diamond bin laden dangote kweli hafai aseeNipo single sababu tulienda Mikumi ubavu wangu ukaliwa na simba.
Umejaribu makeover?Nipo single kwa sababu kila nikitongoza nakataliwa hii inatokana na kuwa sina swaga na pia sura yangu mbaya
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Samahani huwa sisomi pm kwa nature ya device ninayotumiaAngalia pm
Nashukuru nimezaliwa kwenye familia ambayo hata ulikuwa ukinywa maji mama anakwambia ombea ule utoto unakasirika lakini tumekuwa watu wazima hata wanaume wanaomba unashangaa kuamka ucku muanze kuomba ni kwa kawaida wakati mwingine unawaza kuna laziada kwa sbb in our clan we are blessed in most angles except marriage tufekwa.Anzia na ibada pia....
Kuna jamaa alimtongoza mwanamke acha awake wewe baba mimi mke wa mtuKinachofurahisha kwenye huu uzi ni pale muke za watu zinaposema zipo single wakati harusi zao tulishachangia.....Hahahahaaa.
Una tafuta promoMe nipo single coz napenda vibaya, nkitendwa tu naugua... Me ni Mr True love

Na wewe upo single??Niko single sababu ya aibu
Duh! hiyo inaitwa voluntary risk.Kuna jamaa alimtongoza mwanamke acha awake wewe baba mimi mke wa mtu
Jamaa akajibu hata penye harusi yako nilikuwepo na mchango nilotoa!
Ndio hivyo kuna watu makauzu kweli hapo alimaanisha kuwa anajua ni mke wa mtu ila hakuna uhusiano na suala lake la kumtongoza.Duh! hiyo inaitwa voluntary risk.
Kumbe na wewe upo singo???nipo cngo coz hatukuzaliwa mapacha