hahaha ana moyo wa chuma
Kama ana kanga moja muongezee nyingine awe nazo2,na hao wanachuo si ni watu wazima kunatatizo gani wakijisevia huo mzigo
Atakua kavaa mzee hahaha..jamani unamoyo kwanza wifi yako sii mstaarabu au kuna kitu. .mwambie amrudishe rafiki yake kwao tabia zake huziwezi unaogopa nini bwana alaaa. ..mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake mwenyewe,pamoja na ushenz wote huo unamvumilia chaaaa kweli wew muoga. ..
Ila kuna watu wana tabia ngumu! Yaani mwezi mzima mtu baki anaenda kukaa kwa watu? Khaa
Amua rafiki asije ifirisi ndoa yako bure...wanaume wenyewe siku hiz vigeu geu kama mnya ya kuku!!...unachelewa kuchukuwa maamuzi ukija kutahamaki mambo yashaenda kombo
Kuna mdau mmoja amesema ngoja waje wanaume nami nimeamua kuja baada ya kusoma post zenu tokea mwanzo nilichokisoma hapa cha kwanza japo mmetoa hukumu kwa kuusikiliza upande mmoja ni wewe wifi mtu una lako jambo pia haukupenda ujio wa wifi yako na shoga yake full stop hayo mengine naona unaongezea tu ili hoja yako ya kuwafukuza hao wageni kwako ipate mashiko
Ulivyopata ile kondomu sebuleni kama unavyodai ulimwitaa mwenye mji kumwonyesha dharau hiyo ambayo nyie hamjawahi kuifanya? suala la kusema vijana wamechoka huoni kama wewe unaongeza chumvi? iweje mimi niende kujambazia huko usiku kisha asubuhi nichelewe kuamka nikiulizwa niseme nimechoka huoni kama nitakuwa nawasaidia upelelezi wale wanaotaka kujua kwanini mimi nichoke asubuhi nilikuwa wapi usiku.Vijana. hawawezi kumgalagaza wote au ilikuwaje wote wakachoka wote pia haiwezekani mtu akaja kwako wiki moja tu akayafanya hayo kama ni hivyo kuna mwanya mkubwa alioupata hapo kwako hadi akafikia kuyafanya hayo unayoyadai ambayo sisi hatuna uhakika nayo.
Apana basi imefika mahala pake na hapa JF ndio masikio yanazidi kufunguka na moyo ndio unaumaaa naona tafrani, nimechoka nafsi yangu...
Habari zenu wana
MMU.
Sikuzote napenda kuchangia lakini leo limenikaa kwenye Roho naomba
niliseme yalojiri.
Wifi yangu amekuja kwetu yeye watoto wake na shoga yake kwa ajili ya
likizo mpaka 12jan 14.
Huyu shoga wa wifi yangu namshangaa nyumba ina watoto wa kiume mumewangu
anavaa KANGA moja
mara kaingia chumba cha watoto wa kiume,yani tangu aje ni 10days lakini
nimeshamshibaa.
Jumamosi kaenda Disco karudi saa mbili asubuhi yaani amepita sitting
room nguo alovaa Aibu nimeona mie.
Sasa leo asubuhi nimeamka kutengezeza chai ya Mzee namkuta kalala
sitting room kihasara pembeni kuna Condom.
Nikaenda kumfata wifi yangu akamuamshe, wakati naenda kazini vijana
ndani wanasema hawaendi Chuo sababu wanaumwa, sasa sijui zile condom
zimetumiwa nanani na yaani amekosa adabu anafanya hayo mambo kwenye sofa
jamani hivi nikimwambia wifi yangu shoga yako aondoke nitakua
nimekosea?
Uzuri kuwa mume wangu aliuliza kwanini huyu binti amekuja muda mdogo
hapa lakini kengele kila mara? mie sikujibu wifi akasema ah kaka
siunajua tena friends.
Waungwana mwenzenu hata sijui nifanyeje zaidi linalo nikera lile la
kuvaa kanga moja anamanisha nini?
pole ina nahis nyie waislam utakuta watu nyumba imejaaaa. na kama si waislam bas wasukuma dah akija kwako miez 5. tuelezee vizur hao vijana wa chuo wako???
nimesha fanya maamuzi Mkuu jana na am sure hawaja penda ila itakua somo kwa wengine.......fanya maamuzi chap
nimesha fanya maamuzi Mkuu jana na am sure hawaja penda ila itakua somo kwa wengine.......
wanasoma chuo lakini wanakaa na na mie....Mbona unachanganya story??? Na wale waliopo chuo?
Inshallah halitotimia lengo lake.......unataka mpaka akuibie mume ndo umfukuze au...?
sio wangu ni watoto wa shemeji yangu alifariki miaka 10 ilio pita na nikamuomba Mzee tuwachukue sababu hawana mama wala baba na wanapenda sana kusoma ndio tuko nao,watoto wangu ni wa4 tuu wawili wako nje ya nji wanasoma niko na wadogo wawili.....
Inshallah halitotimia lengo lake.......