Kwanini upange sheria nyumbani kwangu?

Kwanini upange sheria nyumbani kwangu?

naweza sema humu jamvini story nyingi sana ni za kutunga.

Kama umezowea Za kutunga hii ni ya kweli, na sikulazimishi kuamini, walonipa ushauri nimeufanyia kazi na nna washukuru wote..pamoja na wewe pia...
 
Kwanza hongera kwa uvumilivu,ningekuwa mm yaan hiyo asb ningempa makofi ya uhakika....
Atalalaje ovyo sebuleni kwangu? Na kuacha kondom,my dia ww ni mpole ndio maana.

Asante Mkuu lakini ulinishindaa, Kwa sasa nanuka u baya Kwa wakwe wifi na mashemeji lakini sawa Sikua na jinsi nyengine...
 
Unaanzaje kuwatimua, mengine unamezea japo machungu

Kusema kweli Mimi haikunikera wifi yangu kuja Sababu nauli Mzee amenipa mie nikamtumia, chakushangaza narudi kazini namkuta mwanamke mwengine nikamuliza huyu Nani kasema shogaangu sikuona Tabu, nilianzaa kuchukia pale alipokua Kila Mara kengele anaulizwa yy, mwisho nikachoka nilipoona hiyo ndom imetumika na yy kalala sebuleni kanga 1 na pia iko upande..
 
Yaani una uvumilivu sana, me kitendo cha kuingia tuu ndani ni kosa, sasa bado khanga moko na condom juu? Timulie kulee
 
Usimtimue bhana... acha kwanza aonjwe na mumeo.... siku ukimkuta mumeo akilamba sukari yake kitandani kwako ndo umfukuze kwasbb hadi sasa ashaliwa na watt wako bado mzee...
 
hii ni kweli kabisa......mgeni lazma ufwate sheria ya nyumba husika.....nakumbuka kipindi fulani nilikuwa nakaa arusha kwa kaka yangu.....kwa ajili ya kusoma....na walikuwa wana utaratibu wa kusali usiku.....mkishamaliza kula....mnaimba nyimbo mnapigaa makofi na kusali.....mkimaliza mnasoma biblia na kuitafakari......nilikuwa sipendi lakini ilinipasa kufanya hivyo mana ndiyo sheria ya hiyo nyumba......

Ndio kanuni ya ugeni hiyo especially kama umekwenda sehemu kwa sababu maalumu, kuna ndugu wanasumbua yaani unakuta mtu umeanza life anakuja bro au mdogo wako alafu kwa kuwa wewe ni mtu wa mishemishe unakuta yeye anakuwa na marafiki sasa kiasi kwamba ukiwa na mgeni wako hasa kama ni mrembo inabidi utoe 3 hours notice kwamba utakuja na mgeni vinginevyo aibu maana bora umkute yeye, unamkuta na majamaa kibao wanaangalia runinga tena na wajanki wa kitaa wale ambao wanakula ugali wa shikamoo
 
Usimtimue bhana... acha kwanza aonjwe na mumeo.... siku ukimkuta mumeo akilamba sukari yake kitandani kwako ndo umfukuze kwasbb hadi sasa ashaliwa na watt wako bado mzee...
Mwenyezi mungu ananinusuru hili na kila mwenye Husda na Familia yangu, na sio wanangu walio lalanae alikua ni mlinzi na Mlinzi alikubali kua amefanya kosa,sisemi watoto wangu kua hawafanyi makosa lakini kwa hili sio wao na ningeshangaa sana sababu nimejitahidi sana ibaki rehema ya mungu tuu ...........
 
Mi mimtu ya kulia lia na vitu obvious huwa inanichooooooshaaaa!
Yani hiv huwa mkiolewa anawarogaga nani kuwaambia the power to let in and to let out huwa ni ya mume tuuu?
Yani Hapo unasubir nn kwa mfano?
Na wifi wa kubeba mpk shoga eti anakuja kupumzika nyumba yako imekuwa resort ?
Muwage mnajiongeza kidogo,sio kuwa naive kiasi hicho!
Chaaaaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom