Kwanini upange sheria nyumbani kwangu?

Kwanini upange sheria nyumbani kwangu?

bado yupo au ushatimua kama bado nipe dili la kumtimua hapo
 
Mtama kwa watoto we ni noma. Una roho ya wema hadi karibia inazidi uwezo!

Iko hivi, hiyo condom naamini 'haikutumika'. Wanakurusha roho Mtama. Hebu jiulize km kuna lililopungua hadi wifi alete zengwe lote hilo.......

Hii stori imefanana na ya mtu naemjua. Dadaake alimletea kifaa ndani ili kimsumbue njia kuu mpaka ajiondoe kwa hasira. Na aliondoka aisee..... kama vile nakuonea huruma maana ushasetiwa tayari mamaangu. Umemkosea nini mumeo? Maskini Mtama... Pole mama!

Wallah sijamkosea mumewangu Kitu ila labda huyu wifi kama ana mpango wakunitoa kwenye ndoa lakini inshallah ataondoka yeye, labda Wema Wangu kwao manake silioni baya nilomfanyia wifi zake wengine wamemwambia tutakuja sie kukuona siunajua maisha Tabu, apana she have to leave my house, imetosha....
 
Last edited by a moderator:
Mtama kwa watoto we ni noma. Una roho ya wema hadi karibia inazidi uwezo!

Iko hivi, hiyo condom naamini 'haikutumika'. Wanakurusha roho Mtama. Hebu jiulize km kuna lililopungua hadi wifi alete zengwe lote hilo.......

Hii stori imefanana na ya mtu naemjua. Dadaake alimletea kifaa ndani ili kimsumbue njia kuu mpaka ajiondoe kwa hasira. Na aliondoka aisee..... kama vile nakuonea huruma maana ushasetiwa tayari mamaangu. Umemkosea nini mumeo? Maskini Mtama... Pole mama!

Mkuu imetumikaaa... Sasa sielewi alikua amepitiwa na usingizi au amefanya kusudi yani hata sijui kichwa kunauma upande mmoja sanaaaa Kwa mawazo...
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli mtu wa kujiachia mpk kwenye makochi ya familia tena ugenini....hapana kwa kweli....Sioni sababu ya yeye kujizungusha hivyo,amwambie ukweli (black and white) bila kumficha utaratibu wa nyumba yake ni huu,tabia zake hazivumiliki kutokana na anayoyafanya .Hata WiFi yake hana adabu,iweje asijue tabia za shoga.

Binadamu wengine Sio Wema kabisaaaaa huyu wifi na yeye pia atashangaa na mamuzi yangu....
 
Yan ww una moyo mkubw!...mpk umekuja kuomba ushauri hapa???...mimi ningemtandika viboko siku 1 yy na mshenzi mwenzie aliemleta ningewatimua kama wezi

Mkuu nimeshindwa, hua mvumilivu sana mie najaribu kumpa mtu fursa Ili aweze kutambua kosa lake, lakini matokeo Yake naonekana mjinga...lakini hua nikisha amua hua ni final..
 
Mkuu imetumikaaa... Sasa sielewi alikua amepitiwa na usingizi au amefanya kusudi yani hata sijui kichwa kunauma upande mmoja sanaaaa Kwa mawazo...

Mkuu Mtama, unatolewa kwenye reli kiaina. Shaurilo! Halafu unavyoandika, u muungwana sana. Chondechonde usipitilize. WATIMUE!

Mumeo karudi? Ushamweleza? Mrejesho?
 
Mamaye zake....
Timua haraka sana....
Tena fungasha virago tupa nje...

aafu wewe!!
nitaahirisha kukuwowa!!!
unajuaje ni chakula ya baba mwenye nyumba imeletwa na dada mtu?

yaani dada yangu abebe tu mtu ati shoga yake!!!
nawafukuza wote wajalikizike huko kwao.
 
Sorry kwakukukwaza lakini umezubaa sana, Yani upole umepitilizaa au wamekufanya ndondocha? Fukuzilia mbali mbwa huyo au atakufukuza Wewe....
 
Mtama unakijua kisa cha Msafiri na ngamia wake aliyeomba hifadhi kwenye hema? Angalia Ngamia asije kukusukuma ukatoka kwenye hema.....
 
hny nitadata siwezi ishi bila wewe uwiiiii...
Hata mie nlimwambia mleta mada inawezekana ni wa mume wake ameletewa chezea mawifi weee
aafu wewe!!
nitaahirisha kukuwowa!!!
unajuaje ni chakula ya baba mwenye nyumba imeletwa na dada mtu?

yaani dada yangu abebe tu mtu ati shoga yake!!!
nawafukuza wote wajalikizike huko kwao.
 
Sorry kwakukukwaza lakini umezubaa sana, Yani upole umepitilizaa au wamekufanya ndondocha? Fukuzilia mbali mbwa huyo au atakufukuza Wewe....
hapana usiseme hivyo hata mimi nina weakness hiyo ya kumwambia mtu ukweli juzi kuna dada wa kazi nyumba ya jirani kamtukana mwenzake tusi kubwa mbele ya mwanangu wa miaka mitatu sikupenda ile kitu butimagine niliogopa kumwakia nikamtuma wife ,so fanya hivi ongea na mumeo au WIfi yako wamalizane nao we kaa pembeni sikilizia results
 
Yani sijui anamuogopa huyo wifi sijui mume manake yoyote ukimueleza atakuonaje kituki? Mie kwanza sikuwalokuja ningekua mlangoni Kama mpokea tkt Dar live, huna mualiko huingii kamuwacha Mpaka anampangia mizungu duh! Mie hawahii.....
 
Mkuu nimeshindwa, hua mvumilivu sana mie najaribu kumpa mtu fursa Ili aweze kutambua kosa lake, lakini matokeo Yake naonekana mjinga...lakini hua nikisha amua hua ni final..

Amua rafiki asije ifirisi ndoa yako bure...wanaume wenyewe siku hiz vigeu geu kama mnya ya kuku!!...unachelewa kuchukuwa maamuzi ukija kutahamaki mambo yashaenda kombo
 
Ila kuna watu wana tabia ngumu! Yaani mwezi mzima mtu baki anaenda kukaa kwa watu? Khaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom