Kwanini upange sheria nyumbani kwangu?

Kwanini upange sheria nyumbani kwangu?

Shida sijajua mume wako alivyo (maana sisi nasi sometimes tunajijua wenyewe), lakini binafsi naona cha kwanza ni kumfahamisha yeye (kama hajui). Mnalala room moja, na huwa unaweka kichwa chako kifuani kwake; malizia na kuliongea hili sasa. Nimeanza kwa kusema sijui mumeo alivyo, hivyo lifikishe hili kwa staha afahamu kuwa huna chuki binafsi kwa huo ugeni. Mara nyingi akina ninyi huwa mnahitaji kupewa nguvu, na mtu wa kwanza kumjaza nguvu mwanamke ni "partner" wake. Naamini ukipewa "support" kiduchu tu na Mr hatopona mtu hapo!

Nilipo toa maamu kua waende zao nikamuliza Na yeye akasema lazima waende...sasa najua watasema nimemtia Kwenye kibuyu ntazowea tuu...
 
Ndugu kama mnajijua mna maisha tofauti na wenyeji fikieni hotelini.

Na ndugu mnaokwazwa kusema maneno jino pembe ni kufuga mambo msiyoyapenda yaendelee.

Ukweli na uwazi utawale zaidi.

Huyo alomleta ndio balaa yeye anajua sheria Za nyumbani kwangu, Sio kua nilikua simwambiii wifi yangu, yeye ni mwanamke mwenzangu na Sio Kila jambo Kwa Mzee, Mimi pia lazima nimsaidie Sio arudi na stress Za kazini na aje nyumbani kuna jengine labda kama kubwa ndio ntamwita....
 
Huyo alomleta ndio balaa yeye anajua sheria Za nyumbani kwangu, Sio kua nilikua simwambiii wifi yangu, yeye ni mwanamke mwenzangu na Sio Kila jambo Kwa Mzee, Mimi pia lazima nimsaidie Sio arudi na stress Za kazini na aje nyumbani kuna jengine labda kama kubwa ndio ntamwita....

Balaa zaidi ni utamaduni wetu wa kujazana majumbani.
 
Inakuwaje mnajibeba mama na watoto 4 plus another stranger to somebody's house for a month!!! Aisee nimeamini kuna watu hawana aibu!! Mimi kukaa kwa MTU 24 hours tu Shida Leo hii mwezi mzima! Uyo wifi na shogake hawana waume?? Aisee Dawa yao kuwatimua tu bila kufikiria mara mbili!

Unaanzaje kuwatimua, mengine unamezea japo machungu
 
Wallah kwangu kawaida tuko 9 watoto 7 mie na Mzee watoto wawili wako nje ya nchi nimebaki na 5 boys, yule wifi kaja na watoto4 yeye na shoga yani zogo lakini ndio ndugu tena...

Ni kweli kabisa, watu wa mwambao hupenda kuwa wengi ndani ya nyumba, hata 10+ wanaishi na hawana tatizo. Ingekuwa wabara, watu kumi tayari ni ishu, afu ule utamaduni wa kuishi na ndugu unaanza kufifia taratibu siku hizi. Wengi wanaona kama ni Kusaidia bora nitume pesa au bora nimpeleke boarding akasome na kukaa Huko kuliko kuishi na mtu. Taratibu tunabadilika...
 
Unaanzaje kuwatimua, mengine unamezea japo machungu

Kiongozi, ule moyo wa zamani haipo tena. Maisha yamebana watu wanachoka kuishi na ndugu. Imagine kwa Dar mtu ana vyumba viwili na sebule, how does he handle a big family?...
 
Watu wa pwani sijui Zenji hiyo ni tamaduni...unakuta nyumba imejaa watu mpaka unajiuliza wanalalaje...
Na kama yeye pia ni wa huko no problem...
Tatizo naloona ni huo ufuska...

Afu nadhani kuna umuhimu sana kuoa kwenu kama mna desturi za kijamaa...else ndoa inaweza kumshinda mtu au ndugu na wazazi kukutenga...

Mimi sijawai kuona watu wa pwani wenyewe kwa wenyewe wanalalamikia extended family...tatzio ku mix makabila...

Nadeclare interest mm wa bara so issue kama hii haingii akilini lakini pia naona kwamba huyu alikuwa tayari kuvumilia sema wakamtia masingi
 
Nadeclare interest mm wa bara so issue kama hii haingii akilini lakini pia naona kwamba huyu alikuwa tayari kuvumilia sema wakamtia masingi

Nakusalimu kwa jina takatifu la Bwana.........
 
Wakubwa wanamuelewa vizuri tuuuu, Na chuki yote hiyo alitaka asomeshewe watoto wake japo wawili Mimi nikasema NO, watoto wako na baba yao wajipange, Sasa chuki Kwa hawa, anawambia mme nenepeana watoto mnakula kuliko mwenye nyumba....

Kumbe!! Basi mfungie vioo kabisa,ana uwivu wa kijinga kabisa,hana hata huruma jamani? Mhh!!
 
Sijawahi ona uvumilivu kama huu..si umtimulie mbali..tena na makofii juu..ukishindwa ita greda likusaidie kumbeba...shame on her...
 
Kwanza hongera kwa uvumilivu,ningekuwa mm yaan hiyo asb ningempa makofi ya uhakika....
Atalalaje ovyo sebuleni kwangu? Na kuacha kondom,my dia ww ni mpole ndio maana.
 
Yaani hili ni la kulalamika au ni kitendo cha kuamka asubuhi unamtimua na kondom zake??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom