Kwanini upange sheria nyumbani kwangu?

Kwanini upange sheria nyumbani kwangu?

Aisee extended family ni shida..... rfk wa wifi aje kwako likizo mwezi mzima??????? kabila gani hilo??? fukuza tu.
 
Unaendaje nyumbani kwa mtu na shoga yako... loh mfukuze mapema huyo
 
Unaenda nyumbani kwa ndugu yako kupumzika na watoto 4 afu na shoga juu????? Binadamu wengine sijui wanafikiria kwa kutumia nini aiseeh.
 
Yaonekana wewe ni KILAZA! Au huna mamlaka hapo kwako? ETI SIJUI UFANYAJE! Ok, it's simple. Nawe nenda likizo kwa kaka wako, ukakae kwa heshima na taadhima ukirudi jibu utaliona na wala si kuambiwa! UBONGO MZITO.
 
Duh!! Embu dadavua ilikuwaje kuwaje, tunajifunza somo hapa......
yalikua hivi.
Mzee alipofika kama kawaida amemaliza kula nilishamwambia kua nataka kuongea nae kasema poa,basi tukaenda chumbani nikamweleza mwanzo wa mambo mpaka mwisho,alichojibu yeye ni kua wewe ndio mama mweney nyumba kwanini mpaka umuite yeye aje aone ndio upate uthibitisho? kwanini usinambie hiyo asubuhi wakati umeona umesubiri mpaka jioni? nilishasema mwanzo anaetaka kuka kwangu afate sheria zangu la hawezi ajipange,sasa staki bunge wala vikao,akatoka kumuita mdogo wake,akamwambia kumetokea nini na huyo rafiki yako?
Kasema naona wifi kafanya BIG ISSUE kuona nanihi! kamuliza tena BIG ISSUE kitu gani?
kaona Condom ndio ka mind, hataki mimi nikae hapa mbona kawakumbatia hawa watoto na wala hawana haki yoyote humu ndani mie mwenye haki ananibania,nikamuliza wewe una haki gani humu ndani?
nikamwambia wacha nikujibu kabla huja endelea mbele kuhusu hawa watoto ni yatima hawana baba wala mama na sio watoto wa mtu baki ni watoto wa kaka yenu mkubwa sio watoto wa kakangu wala wa dada wala kheir yangu isiwe ni shari kwenu, nikamwambia mume wangu mie kubishana wala zogo staki sio kama siwezi ila kwetu hatuna hayo mambo,
sasa basi kuanzia sasa wachukuane waendezao watakakokujua wao sijui na staki kukujua ni wapi..

tena sio kesho sasaivi na staki kuzungumzia tena swala hili kafungasheni virago vyenu mwende, wale watoto walikua wanasikia alivyokua akiongea kua nimewakumbatia nikawafata kwenye room yao walikua wamejiinamia nikaenda kuongea nao nimewambia as long as niko Hai watakaa hapa nyumbani wazidi ku focus na masomo na dini na waniombe niwe na afya njema lakini wao ni watoto wangu na nna wapendaa...

nimerudi juu nawakuta watoto wake wana malizia kuondoka....... hapo ni saa 6 usiku nimemwambia driver awapeleke wanako taka,wamejua kujigawa wengine wamelala kiembe samaki,wengine wamelala mwana kwereke.... hayo ndio yalojiri
yani sasa nanuka ubaya ...
 
Mleta Uzi hii story ya shigongo au kweli imekutokea? WiFi, wanae na shoga! Shoga vituko na wifi anamwangalia tu. Mwenye nyuma nae anaona saw a tu. Km ingekuwa kweli hata huyo dadangu nae nafukuza. Inawezekana lao moja. Nitawabakisha wanawe tu.
 
mlimuendekeza toka mwanzoni

Nikweli nimempa fursa yakunizowea, yani nimechoka aliposema Wifi ana fanya BIG ISSUE kuona condom......
na sasa watasema kaka yao katiwa kwenye kibuyu manake niliposema waondoke nikamuliza kama ana objection yoyote kasema no waende kama ulivyosema.......
 
Mleta Uzi hii story ya shigongo au kweli imekutokea? WiFi, wanae na shoga! Shoga vituko na wifi anamwangalia tu. Mwenye nyuma nae anaona saw a tu. Km ingekuwa kweli hata huyo dadangu nae nafukuza. Inawezekana lao moja. Nitawabakisha wanawe tu.
Kama utaniamini nikweli na ukiona ni uzushi sawa,naona hujasoma vizuri hakuna alobaki yeye na shoga yake wote wameishia........
 
Hujajua tu, umeletewa mke mwenzio huyo am aye wifi yako anamkubali,jiandae kufungasha
 
Kama utaniamini nikweli na ukiona ni uzushi sawa,naona hujasoma vizuri hakuna alobaki yeye na shoga yake wote wameishia........

Swb sikusoma hadi mwisho so nikaamua nichangie. Km wamesepa hapo swafi. Ila watoto was WiFi waache wale bata hadi 14 jan 2015.
 
yalikua hivi.
Mzee alipofika kama kawaida amemaliza kula nilishamwambia kua nataka kuongea nae kasema poa,basi tukaenda chumbani nikamweleza mwanzo wa mambo mpaka mwisho,alichojibu yeye ni kua wewe ndio mama mweney nyumba kwanini mpaka umuite yeye aje aone ndio upate uthibitisho? kwanini usinambie hiyo asubuhi wakati umeona umesubiri mpaka jioni? nilishasema mwanzo anaetaka kuka kwangu afate sheria zangu la hawezi ajipange,sasa staki bunge wala vikao,akatoka kumuita mdogo wake,akamwambia kumetokea nini na huyo rafiki yako?
Kasema naona wifi kafanya BIG ISSUE kuona nanihi! kamuliza tena BIG ISSUE kitu gani?
kaona Condom ndio ka mind, hataki mimi nikae hapa mbona kawakumbatia hawa watoto na wala hawana haki yoyote humu ndani mie mwenye haki ananibania,nikamuliza wewe una haki gani humu ndani?
nikamwambia wacha nikujibu kabla huja endelea mbele kuhusu hawa watoto ni yatima hawana baba wala mama na sio watoto wa mtu baki ni watoto wa kaka yenu mkubwa sio watoto wa kakangu wala wa dada wala kheir yangu isiwe ni shari kwenu, nikamwambia mume wangu mie kubishana wala zogo staki sio kama siwezi ila kwetu hatuna hayo mambo,
sasa basi kuanzia sasa wachukuane waendezao watakakokujua wao sijui na staki kukujua ni wapi..

tena sio kesho sasaivi na staki kuzungumzia tena swala hili kafungasheni virago vyenu mwende, wale watoto walikua wanasikia alivyokua akiongea kua nimewakumbatia nikawafata kwenye room yao walikua wamejiinamia nikaenda kuongea nao nimewambia as long as niko Hai watakaa hapa nyumbani wazidi ku focus na masomo na dini na waniombe niwe na afya njema lakini wao ni watoto wangu na nna wapendaa...

nimerudi juu nawakuta watoto wake wana malizia kuondoka....... hapo ni saa 6 usiku nimemwambia driver awapeleke wanako taka,wamejua kujigawa wengine wamelala kiembe samaki,wengine wamelala mwana kwereke.... hayo ndio yalojiri
yani sasa nanuka ubaya ...

Loh!!! Kokoko!!! Ulijitahidi kuvaa sura ya kazi,hongera sana sasa hapo poa lazima maza house ajulikane ni nani!!

Wifi huyo si mtu mzuri anathubutu kusema watoto wa kaka yake mkubwa hawana haki? Mama yangu hii ni mupya!! Anataka yeye aolewe na kaka yake!! Hivi ana mume kweli? Acha tu ubaya uwe ubaya mpuuze tu dua la kuku halimpati mwewe.

Ila sasa wameacha kitendawili hapo ndani hiyo ndom shoga katumia na nani???Jaribu kufanya kauchunguzi mbane kijana mmoja baada ya mwingine,sasa walivyoondoka utayapata mengi jitahidi uwe na moyo wa chuma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom