everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,037
Nimenyonyesha na nikamwambia kaka yako ntamwambia pia, Na sijapenda tabia hii, kajitia ooooh anawazimu huyu nikatoka zangu..
Basi mpango wao mmoja wafungukie tu....
Nimenyonyesha na nikamwambia kaka yako ntamwambia pia, Na sijapenda tabia hii, kajitia ooooh anawazimu huyu nikatoka zangu..
Wifi mcharuko, alafu wageni design ya mpaka anakwenda disco ugenini wakati wenyeji wake hamwendi hawafai maana mgeni hufuata kile mwenyeji wake anachokipenda
mi ningemfukuza USIKU
KWANZA NISINGEWAPOKEA KABISAAAAAAA....NINGEWAKODIA GUEST WALALE ASUBUHI WAONDOKE MXIIIIIUUUUU
UNAANZAJE KUOOKEA WATU WENGI KIASI HICHO
nikwambie kitu???
ongea na mume wako mwambie kila kitu then mwambie hivi muende somewea this weekend na familiya yako then huyo wifi yako na shoga ake na watoto unawaambia mnaenda mapumzikoni for a week kwa hiyo inabidi warudi walipotoka
LAKINI ORIGINAL IDEA NI KWAMBA MNAENDA KUSPEND ONLY ONE DAY SIKU WATAKAYOONDOKA HAO MNAFUNGA NYUMBA KABISAAAAAAA
TUMIA HIYO NJIA
Shosti niamini Mimi wananiona zuzu ila Sio wanavyo nifikiria na sikutolewa nyongo mamuzi nikiyaona Siyo na hayaniridhi wanakwenda zao wote...
Wifi mcharuko, alafu wageni design ya mpaka anakwenda disco ugenini wakati wenyeji wake hamwendi hawafai maana mgeni hufuata kile mwenyeji wake anachokipenda
ushapata la kufanya??embu sema hap tulipime tuone kama sawa
Siongei mengi ivooo zaidi ya kumueleza Mzee nilicho kiona Leo na tabia ya huyo Mdada, halafu yeye hua hapendi kuficha bunge litaanza na mwisho ndio ataamua, lakini mie basiiii naende zake kama wifi yuko mwengine Sio lazima mie..
nikwambie kitu???
ongea na mume wako mwambie kila kitu then mwambie hivi muende somewea this weekend na familiya yako then huyo wifi yako na shoga ake na watoto unawaambia mnaenda mapumzikoni for a week kwa hiyo inabidi warudi walipotoka
LAKINI ORIGINAL IDEA NI KWAMBA MNAENDA KUSPEND ONLY ONE DAY SIKU WATAKAYOONDOKA HAO MNAFUNGA NYUMBA KABISAAAAAAA
TUMIA HIYO NJIA
hii post imenifikirisha mengi HIVI KWELI UTAKOSA LA KUFANYA KABISA??FUKUZA WOTEKwa kweli mtu wa kujiachia mpk kwenye makochi ya familia tena ugenini....hapana kwa kweli....Sioni sababu ya yeye kujizungusha hivyo,amwambie ukweli (black and white) bila kumficha utaratibu wa nyumba yake ni huu,tabia zake hazivumiliki kutokana na anayoyafanya .Hata WiFi yake hana adabu,iweje asijue tabia za shoga.
Hakuja hata na pini, Na zaidi asivyo kua na haya yeye ana watoto wa4 watoto hawasikii Juzi kuna mmoja amekula Mpaka ametapika, mtoto ameshakula na wenzie 1 na nusu usiku wamecheza Saa 3 wakunywa maziwa na wenzie halafu kulala ndio routine kwangu, huyu mtoto asione mtu anakula anataka mtoto Hata kama kulala anamuamsha...
dada nimepata shida moyoni utadhan wako kwangu..!
my dia wema usizid kipimo!!! wewe ni shangaz wa hao watoto? au huyo mumeo ni baba yao hawajakujulisha? napata shida kuelewa akili ya wif yako ya kubeba ushoga kuleta kwako? mbona nahic kuna mishen ambayo hujaielewa? (shoga wa wif yangu na watoto wanne mwezi mzima kwangu???) hao watoto hata tuition hawasomi? baba wa hao watoto anaagwa wanaenda wapi mwezi mzima? mamy hebu fungua macho....!!! unauhakika ni ushoga tu hapo..!!!???
napata shida moyon hata nashindwa niandike nini..!!!!
Usikate tamaa ya kumvumilia
umeshajiuliza kwanini anajiamini hivyo?! shoga wa wifi aje na watoto kwako?ya wapi hayo?!halafu ana do nyumbani kwako?!kuna kitu hapo.binafsi napata hisia huyo ni zaidi ya shoga wa wifi yako na watoto wake pia!hujui la kufanya?!ongea na mumeo awaite mdogo wake na shoga yake.amweleze wazi huyo shoga wa mdogo wake afungashe haraka,akishindwa kumwambia lipo usilolijua! unasema mumeo anashangaa huyo mdada kafuata nini?!sidhani kama anashangaa mpaka moyoni! siwazii hata siku moja shoga wa wifi yangu aje likizo kwangu na wanae!!! apite na kanga moja mbele ya mume wangu namuangalia?never!