Kwanini upange sheria nyumbani kwangu?

Kwanini upange sheria nyumbani kwangu?

Watoto ni wa wifi yangu yeye ndio shoga wa wifi, yani miguu yangu naona nakosa nguvu kila nikisoma comments zenu .....

bado hadi muda huu hamjamtimua!? hivi hata machale hayakuchezi? wifi yako sidhani kama nakupenda kutakuwa na tatizo kati yenu! hebu leo lala kimachale fuatilia kinachoendelea humo ndani kwako!
 
wacha weeee sasa udada unaanzia miaka mingapi dear maana 38 anaitwa msichana etiii

Mjini Dada ni yule uliyezaliwa nae tuu...wengine wrote ni ma aunt......!
Umuite mwenzio Dada kakukosea nini? umwamkie unataka kumnyima nini? Kosa lake kuwahi kuzaliwa au?
Mjini raha bwana.....
 
Mjini Dada ni yule uliyezaliwa nae tuu...wengine wrote ni ma aunt......!
Umuite mwenzio Dada kakukosea nini? umwamkie unataka kumnyima nini? Kosa lake kuwahi kuzaliwa au?
Mjini raha bwana.....

hahaha kazi ipo natamani tungekuwa tunaganda no kuzeeka lols
 
Hao vijana 3 ni wa nani? Huyo shoga wa wifi yako analeta kilio nyumbani kwenu...atawapaka ukimwi wote....yuko kwenye special mission...
Na wametokea mkoa gani? huyo wifi yako mwenye watoto 4 hana kwake...I mea hana mume?

Mimi hata ushauri nisingeomba...angekuja kuomba yeye...

Niamini Sio kama napenda akae au hanikeri laa hashaa, nahisi labda atakua na haya au wifi yangu atamwambia kua usifanye hivo lakini naona visa vinazidi, halafu mbaya nyumba Ina vijana wa3 wako chuo sasa hao una vaa kanga moja watakuachia?
 
Umenifanya nimkumbuke wifi yangu...mume wangu kwao ni madume tupu ila kuna watoto wa Aunt yao mmoja ni shangingi la mjini...

Ha ha ha ...japo wifi yangu ana heshima za kisukuma (pamoja na ushangingi wake...I mean mabwana ndio wanamuweka mjini...hana shughuli....)...ana marafiki zake hao bana...wengine wana mivuto balaa...
Walianzaga kujipendekeza kwangu...nikawachunia mbaya....eti wifi sijui nini wifi sijui nini...
Rafiki wa wifi yangu si wifi...wanaanzaga hivyo hivyo...waliponiona expensive wenyewe wamesepa...sina ushoga miye....

Hata kama kuna kuchitiwa si kihasara hasara hivyo...

Tena nilikuwa nawachunia live...nadhani wameshanisoma...sijawasikia tena...
 
YAANI KIPELE UMPATA ASIE NA KUCHA manina walahi yaani ningemtimua bila kuwaza mpaka umekuja kuandika hapa aiseee kuna watu mna mioyo ya uvumilivu mweeeeeeeeee
mimi angeisoma namba aiseee tena angeisoma fresh weeee
sipend ussssng wa kiboya boya mimi ungekua wewe shoga angu ninhekusaidia hilo timbwili man.....na

Aiseeeee
 
Habari zenu wana MMU.

Sikuzote napenda kuchangia lakini leo limenikaa kwenye Roho naomba niliseme yalojiri.

Wifi yangu amekuja kwetu yeye watoto wake na shoga yake kwa ajili ya likizo mpaka 12jan 14.

Huyu shoga wa wifi yangu namshangaa nyumba ina watoto wa kiume mumewangu anavaa KANGA moja
mara kaingia chumba cha watoto wa kiume,yani tangu aje ni 10days lakini nimeshamshibaa.

Jumamosi kaenda Disco karudi saa mbili asubuhi yaani amepita sitting room nguo alovaa Aibu nimeona mie.

Sasa leo asubuhi nimeamka kutengezeza chai ya Mzee namkuta kalala sitting room kihasara pembeni kuna Condom.

Nikaenda kumfata wifi yangu akamuamshe, wakati naenda kazini vijana ndani wanasema hawaendi Chuo sababu wanaumwa, sasa sijui zile condom zimetumiwa nanani na yaani amekosa adabu anafanya hayo mambo kwenye sofa jamani hivi nikimwambia wifi yangu shoga yako aondoke nitakua nimekosea?

Uzuri kuwa mume wangu aliuliza kwanini huyu binti amekuja muda mdogo hapa lakini kengele kila mara? mie sikujibu wifi akasema ah kaka siunajua tena friends.

Waungwana mwenzenu hata sijui nifanyeje zaidi linalo nikera lile la kuvaa kanga moja anamanisha nini?

naona unazunguka tu, kifupi ni kwamba hutaki wageni kwako!! Ni vema ukawa muwazi katika hilo, waambie tu wachape lapa!!
 
Hivi bado kuna watu wanawaita waume zao wazee...mi ulivyosema mzee nikajua baba yako...imechukua muda kukusoma...

Uzee mwisho msata...hata Machache anaitwa baby...
 
Habari zenu wana MMU.

Sikuzote napenda kuchangia lakini leo limenikaa kwenye Roho naomba niliseme yalojiri.

Wifi yangu amekuja kwetu yeye watoto wake na shoga yake kwa ajili ya likizo mpaka 12jan 14.

Huyu shoga wa wifi yangu namshangaa nyumba ina watoto wa kiume mumewangu anavaa KANGA moja
mara kaingia chumba cha watoto wa kiume,yani tangu aje ni 10days lakini nimeshamshibaa.

Jumamosi kaenda Disco karudi saa mbili asubuhi yaani amepita sitting room nguo alovaa Aibu nimeona mie.

Sasa leo asubuhi nimeamka kutengezeza chai ya Mzee namkuta kalala sitting room kihasara pembeni kuna Condom.

Nikaenda kumfata wifi yangu akamuamshe, wakati naenda kazini vijana ndani wanasema hawaendi Chuo sababu wanaumwa, sasa sijui zile condom zimetumiwa nanani na yaani amekosa adabu anafanya hayo mambo kwenye sofa jamani hivi nikimwambia wifi yangu shoga yako aondoke nitakua nimekosea?

Uzuri kuwa mume wangu aliuliza kwanini huyu binti amekuja muda mdogo hapa lakini kengele kila mara? mie sikujibu wifi akasema ah kaka siunajua tena friends.

Waungwana mwenzenu hata sijui nifanyeje zaidi linalo nikera lile la kuvaa kanga moja anamanisha nini?

hujamtimua mpaka sasa hv?
ongea na wifi yako mpe live kuhusu hilo gubeli mi nahisi shosti kaja na akili mbilimbili huyoo
mchelea mwana kulia....!!!
 
hii habari ni chai za pale mdigrii baada ya watu kuchoka.!!!
 
Kosa ni lako mama mwenye nyumba, lazima ukiwa na familia kubwa hiyo (vijana wa kiume watatu, watoto wanne wa wifiyo, rafiki wa wifi, wewe, mzee na mlinzi) lazima kuwe na sheria za kuiongoza nyumba. Sasa mwenzangu mgeni anaenda disco anakirudia saa mbili, mgeni analala kwenye sofa kwani vyunba hamna, mgeni anavaa khanga moja na kupita ovyo ovyo tu... Wewe uko wapi akifanya hayo? Huna principles ndani kwako???...! Endelea kulea maradhi..!
 
Yani Mpaka sasa sija changanyaa, najiuliza zile condom kavaa Nani? Ndani kuna vijana wa3 mlinzi, gardener na driver wa Mzee na Mzee..

Atakua kavaa mzee hahaha..jamani unamoyo kwanza wifi yako sii mstaarabu au kuna kitu. .mwambie amrudishe rafiki yake kwao tabia zake huziwezi unaogopa nini bwana alaaa. ..mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake mwenyewe,pamoja na ushenz wote huo unamvumilia chaaaa kweli wew muoga. ..
 
Mwanamke mpumbavu............................kwa mikono yake mwenyewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom