BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Hata wewe mwebye nyumba una tatizo
Wageni wanapofika nyumbani kwako unapaswa kuwapo do na don't s
Pia nyumba yako sio gesti house.....chochote kitokeacho ambacho hakifai lazima ukikemee on the spot. Mfano ulivyomuona kavaa kanga moja ungemwambia hapo hapo
Kiufupi hata muda wa kuketa uzi humu nisingekua nao maana njngeshamtimua