Utajisikiaje endapo umeenda kupima na kukutwa nayo si utachanganyikiwa mana ulizoea kupiga maji na watoto wazuriHiv is real usijidanganye pima mapema jitambue chukua tahadhari
Umenikumbusha hilo li muviMchumba mi kufa sio Rahisi mimi ni Immortal man
Ukienda kupima hospital,wale majamaa maswali yao tu kama unapresha lazima uzime 😂😂Utajisikiaje endapo umeenda kupima na kukutwa nayo si utachanganyikiwa mana ulizoea kupiga maji na watoto wazuri
Eeh,hata kliniki wanakuwa hawahudhulii kama mwanzo,sema Kila mtaa Kuna balozi anawajua watu wake,yaani mtaani mnajuana.
MUngu atulinde,tujilinde.Daaah
Hakika nina baba angu mdogo alirusha taulo ASEE💔💔RIPNdio! Angerusha taulo tuu! 😊
Mboni km unajiambia mwenyewe vile? Sijakuelewa vizuri kwa hio mwanetu unausamba huo umeme wa luku au?Yani mtu unajua kama ana umeme lakini anasambazia wenzie kama hana akili timamu..
SwaliKwanini unasambaza VVU kwa makusudi??
#Ukimwi upo na unaua pima mapema jitambue chukua tahadhari.
Na condom zinapasuka sanaNani anakubali kufa peke yake?
Ukikuta demu unaetaka kumla anao utafanyeje ???
Sijawahi kukutana na mwanamke mwenye VVU...Ukikuta demu unaetaka kumla anao utafanyeje ???
Hii iliwahi nikuta,kondom ilivuka half dem mwenyewe bar maid.🤣 Tatizo nawaza nikiwashwa kidogo mwili naanza kuwaza.leo nimejingalia nikasema eeh mbona kama nimekonda. Yani kama nitachepuka mimi Tena sijui. Mke wangu ananiuliza mbona kama una mawazo hajui ninachopitia mimi. Hii dhambi inanitesa.