R_Breazy
JF-Expert Member
- Aug 28, 2025
- 281
- 567
Mara nyingi Wanaume after tendo kuna hisia za majuto huwa zinakuja(regret) na hapo ndo akili hurudi🫠🫠Sasa hapo kosa ni huyo anaesemwa anasambaza au huyu alieshindwa kufata kanuni za kuzagamuana na kuchukua tahadhari?