Kwanini unasambaza VVU kwa makusudi?

Kwanini unasambaza VVU kwa makusudi?

Njoo nikupime,sitokupa majibu,itakuwa Siri yangu😂

Ipo siku utapima,Wala usijiwazishe,haujapata.,

Na siku hizi dalili sio kuhara eeeh,Wala mabega kupanda😂

Ukimwi wa zamani🙌🙌
🤣 Tatizo nawaza nikiwashwa kidogo mwili naanza kuwaza.leo nimejingalia nikasema eeh mbona kama nimekonda. Yani kama nitachepuka mimi Tena sijui. Mke wangu ananiuliza mbona kama una mawazo hajui ninachopitia mimi. Hii dhambi inanitesa.
 
Daaah, unajishtukia sana utakonda,,wewe itakuua presha sio ukimwi😂,usichepuke kizembe aisee.
 
Back
Top Bottom