Signoradellap
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,997
- 147,967
Namaanisha mwanaume anafuata kile anaitaka,lkn mwanamke anafuatwa.Edit mwanaume si rahisi ila mwanamke akiamua kuua kwa siku anaweza SEPA na mtu tano
Namaanisha mwanaume anafuata kile anaitaka,lkn mwanamke anafuatwa.Edit mwanaume si rahisi ila mwanamke akiamua kuua kwa siku anaweza SEPA na mtu tano
Hatari sana aise
😂😂😂Umenikumbusha mbali sana, nlikimbilia PReP haraka sana, yule dada nilichukua namba sa 12jion saa moja usiku anataka kunipa sema alikuwa amebanwa, kesho yake jioni nikapiga oyaaa🥲🥲💔kuulizia vizuri ni Grid kitambo😂😂🙌nilidata
Huu uzi utatembea sana natabiri
Vidonge siku 30 japo nilitumia siku 20 nkachoka nikaona liwalo na liwe😅😅 make usiku ndoto nkuwa naota napaa kila siku, ndoto za ajabu ajabu mara unakoswa mishale 😂😂😂aweee sitoisahau haloo, na ukitumia njaa kali knomaUlichomokaje kwenye hio trap
adhabu kali zitolewe
Et unakoswa na mishale 😂Vidonge siku 30 japo nilitumia siku 20 nkachoka nikaona liwalo na liwe😅😅 make usiku ndoto nkuwa naota napaa kila siku, ndoto za ajabu ajabu mara unakoswa mishale 😂😂😂aweee sitoisahau haloo, na ukitumia njaa kali knoma
Ukisex na mtu ukahisi au kujua ana maambukizi wahi hospitali ndani ya masaa 72(3 days) unaweza saidia nje na hapo subiri miujiza ya bwana.
Nilishawahi kumla dada mwenye hiv miaka mingi imepita na nipo poa
Siku 20 ukachoka,Sasa ungeuvaa kunywa midonge Kila siku ungeweza😂😂😂Vidonge siku 30 japo nilitumia siku 20 nkachoka nikaona liwalo na liwe😅😅 make usiku ndoto nkuwa naota napaa kila siku, ndoto za ajabu ajabu mara unakoswa mishale 😂😂😂aweee sitoisahau haloo, na ukitumia njaa kali knoma
Ukisex na mtu ukahisi au kujua ana maambukizi wahi hospitali ndani ya masaa 72(3 days) unaweza saidia nje na hapo subiri miujiza ya bwana.
Siku 20 ukachoka,Sasa ungeuvaa kunywa midonge Kila siku ungeweza😂😂😂
Kutwa mara tatu??Kutwa mara tatu, tungezika huyo mkali. 😊
Kutwa mara tatu??
Asingeweza😂,
Noma sana.Ndio! Angerusha taulo tuu! 😊
Ndio! Angerusha taulo tuu! 😊
Nitoe muongozo??