Signoradellap
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 29,493
- 149,723
😂😂😂😂😂,sijui kwanini wanakuwa na ujasiri wa kujisema kuwa wameungua,baadhi wanasema.Bad thing alikuwa mke wa mtu then mtu wake ni mshikaji wangu ambaye aliniambia ashawaka- mi skujua kuwa ni mke wake🌚
Sasa nakuja kuambiwa yule kishaungua na bwana ake ni fulani ambaye alishawahi niambia amewaka baada ya vibe la gambe kupanda jamaa akanichana kuwa amewaka🥲
Bad thing naambiwa hapo walipo walikuwa wametoka kugombana na mshikaji wake mchana wake alikuwa na mwanaume town analiwa-kwa hiyo nilipewa show akiwa ametoka kutoa show🙌🙌💔
Kimbilio langu likawa BUTIMBA🙏🙏