Eti,mtu unajua ni hatari lkn hajitulizi na hachukui tahadhari.baada ya kucheza rafu nyingi watu wanaogopa kujua health status zao yan ni Bora ummue kuliko umpime ukimwi
Kuna aunt yangu ukichukua house girl lazima ampime ukimwi😂,mshenzi yule🙌LIBIDO ndio chanzo cha yote hayo
Sio huyu wa JFMakebo haya haya??
inawezekana akawa mwaminifu sana ndani kumbe uko nje hatari, yaani unakuja kugundua hilo ushaambukizwa voltage mda sana 😆Ukigundua ni kiruka njia,ni mwendo wa kumfunga visindano kumpima,
Allah aniepushie na anilinde🙏inawezekana akawa mwaminifu sana ndani kumbe uko nje hatari, yaani unakuja kugundua hilo ushaambukizwa voltage mda sana 😆
Hii nchi na watu wake😂😂🙌
na iwe hivyo !Allah aniepushie na anilinde🙏
🙏🙏na iwe hivyo !
Wanakulegezea,ukiwanyororo unauvaa,Watu wenye moto hawakatai yaani! 😊
Ukichovya tuu, kazi unayo.
😂😂😂Umenikumbusha mbali sana, nlikimbilia PReP haraka sana, yule dada nilichukua namba sa 12jion saa moja usiku anataka kunipa sema alikuwa amebanwa, kesho yake jioni nikapiga oyaaa🥲🥲💔kuulizia vizuri ni Grid kitambo😂😂🙌nilidataWatu wenye moto hawakatai yaani! 😊
Ukichovya tuu, kazi unayo.
Edit mwanaume si rahisi ila mwanamke akiamua kuua kwa siku anaweza SEPA na mtu tanoMwanaume ni rahisi kusambaza coz atatumia kitu alichonacho kushawishi jinsia ke,
Mwanamke yeye anakuwa habagui hachagui anaejilengesha twende.
Ulichomokaje kwenye hio trap😂😂😂Umenikumbusha mbali sana, nlikimbilia PReP haraka sana, yule dada nilichukua namba sa 12 wa moja anataka kunipa sema alikuwa amebanwa, kesho yake jioni nikapiga oyaaa🥲🥲💔kuulizia vizuri ni Grid kitambo😂😂🙌nilidata
Huu uzi utatembea sana natabiri