Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,952
- 147,830
Kwanini?Haijakaa poa
Kwanini?Haijakaa poa
Muhimu kutulia na mmoja,Sasa mtu unarukaruka kama mahindi ya bisi unategemea Nini?Haijakaa poa
Kwanini akusambazie😂,mtu anasambazia wenzie vvu kwa makusudi anatakiwa akamatwe apewe adhabu kali.
Kwa njia ipi labda?maambukizi mapya ya vvu
ni makubwa na watu wanaambukizana kwa makusudi
Muwe mnapimana kabla ya ngono.ngono
Ni muhimu kulinda Afya,ukimwi kwasasa umezagaa hasa Kwa waliozaliwa nao mwaka 98/2000,hii ni muhimu sana kwa wale wanaojitambua wasio oongozwa na nyege
unaweza tulia na mmoja na ukaupata tu, assume wewe ni mtulivu mpenzi wako akauokota uko na akakuambukiza tu !Muhimu kutulia na mmoja,Sasa mtu unarukaruka kama mahindi ya bisi unategemea Nini?
Hivi ni kwanini watu wanaogopa kupima ukimwi??Dah tahadhari ni muhimu na wanao usambaza kwa makusudi wachukuliwe hatua na adhabu kali ikibidi
Ukigundua ni kiruka njia,ni mwendo wa kumfunga visindano kumpima,unaweza tulia na mmoja na ukaupata tu, assume wewe ni mtulivu mpenzi wako akauokota uko na akakuambukiza tu !