Kwanini unaenda kwenye tamasha la Fiesta?

ni ngono zembe , ulevi na upupu woooote
hakuna kitu cha kuhatarisha maisha kama fiesta
watu wanabakana,wanalewa kupindulkia,wanaambukizwa ukimwi
hiviii hili zoezi lina maana na umuhimu gani haswa kwa vijana?



kwenda kwenye fiesta ni ubitozi, ujanja, ushamba, ulimbukeni, usasa, umachi noo au ni nini? Kwanini twende fiesta
 
Back
Top Bottom