Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,466
- 5,180
kwenda kwenye fiesta ni ubitozi, ujanja, ushamba, ulimbukeni, usasa, umachi noo au ni nini? Kwanini twende fiesta

Tunakwnda kwa sababu ya kupata burudani thats all!

kwenda kwenye fiesta ni ubitozi, ujanja, ushamba, ulimbukeni, usasa, umachi noo au ni nini? Kwanini twende fiesta

Burudani ya vunja jungu.

kuangalia watoto
Namtoa roho akashtaki kwa Mungu kabisa kwamba nimemnyofoa roho coz alitaka kwenda kufanya uchafu kwa kujiandaa na toba.Emb ashume we ndo unamuandaa mtoto wako afanye mambo mema wiki ijayo alaf anakuambia baba/mama ngoja nfanye vunjajungu kesho!UTAMFANYAJE?

kuangalia watoto
Hivi shule za kata zimefungwa au bado?Me naona ni ushamba tu.