Kwanini umpe mwanamke hela?

Kwanini umpe mwanamke hela?

dogo mwepesi sana kichwani.
Yaani hajui tofauti ya upendo na ngono.
Tatizo ni kuwa watu hawapati wapenzi wao wanadandia wapenzi wa wenzao, which is justifiable huwezi mpa hela kimazoea mpenzi wa wenyewe. Sana sana utampa pesa akupe sex upite hivi.

Tukipendwa tunapewa pesa, si pesa tu na mengine mengi… We call it courtesy…. Na mara nyingi/kama si mara zote ni hiari.

Ukiona unakumbushwa au kudaiwa ni wazi hapo si mahala pako.
 
Atakuvumilia kwa lipi sasa? Kwamba uyo mwanaume anajinyea kwaiyo mwanamke atamtawaza? Au mwanamke haitaji mwenza kwaiyo kuamua kuwa na mwanaume ni kumuonea huruma tu? In which way a man become a burden kusema mwanamke analzimika kupewa hela ili amvumilie uyo mwanaume?
Mwanaume anaempa pesa mwanamke, kama wapi kwenye uhusiano anakuwa na uwezo mkubwa wa kuwa kiongozi wa mahusiano hayo.
Ata-determine dates, trips, vya kula ndani ya nyumba kama wanaishi pamoja.
Kama Kuna familia, role yako ya kuwa kiongozi wa familia unakuwa rahisi kama unampa mke wako pesa za matumizi ya familia na yeye pia kununua vitu kama nguzo, vidani, viatu, make ups, kwenda saloon, perfumes etc...
Kama humpi mwanamke wako hela, kwa asilimia kubwa ndoa hiyo itakuwa inaongozwa na mwanamke na wewe labda utumie tu utemi.
Utasema mwanamke anakuzimia, ila hayo huwa yanaisha na itakuwa boring.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni sahihi. Na kuna wanaume wengi tu wanafanya hivyo, Waulize mashangazi wakuambie.

If you have what it takes tulia utahudumiwa hamna haja ya kutumia nguvu.
Na hao wanaume ambao hawataki kujishughulisha kwa kutegemea kuhudumiwa nao wanachofanya sio sawa, hata kama mwanaume ukiyumba kiuchumi na mkeo akisimamia show angalao upambane kuinuka lakini iyo ni mada ya siku nyingine. Mada ya leo ni kwamba hakuna sababu yoyote ya kumpa hela mwanamke mwenye nguvu, akili na access zote za kujitafutia mwenyewe vinginevyo mwanamke husika aweke wazi kwamba unauza kumer.
 
Mpe mwanamke hela, ajinunulie nguo nzuri avae apendeze, ajinunulie vipodozi, vito na manukato mazuri ajipambe apendeze. Sasa ukisema pesa apewe na baba yake na mbususu pia utasema ampe baba yake

We chukulia pesa unayompa mwanamke ni kama zawadi juu ya upendo wako kwake. Ndio maana hata mkioa waume mnatoa mahari na kupeleka zawadi kwa familia ya mke. Na unamfuata mke kwao kumchukua kwako ili umhudumie.
 
dogo mwepesi sana kichwani.
Yaani hajui tofauti ya upendo na ngono.
Mimi nimezipotezea comment zako kwa sababu nimeona haunielewi, napigia mbuzi gitaa tu. Nakuelekeza kwa mara ya mwisho. Upendo sio justification ya kutoa hela. Kwa namna yoyote hela ikishatumika kama medium ya kuwezesha chochote katika mahusiano iyo ni biashara, linabdilishwa jina tu la hela unayotoa, ile hela unayompa mwanamke ufanye nae sex instantly inaitwa bei na unayompa uyo unaedai unampenda ili kutengeneza mazingira ya yeye kukurudishia upendo au kutengeneza mazingira ya kupata sex inaitwa matunzo. Kimsingi hao wanawake wote wanajiuza wanatofautiana mbinu tu.
 
20231215_075429.jpg
 
Mheshimiwa rais ukiendelea na mwenendo huu tutakufanyia impeachment rais hupaswi kulalamika rais anatoa matamko mazito sio mambo mepesi kama haya!
Tulikua na rais dikteta alikua na misimamo balaa hamna kuhonga watu tulipiga nyeto mpaka ukiona povu mwili unasisimka 😂
 
Mwanaume anaempa pesa mwanamke, kama wapi kwenye uhusiano anakuwa na uwezo mkubwa wa kuwa kiongozi wa mahusiano hayo.
Ata-determine dates, trips, vya kula ndani ya nyumba kama wanaishi pamoja.
Kama Kuna familia, role yako ya kuwa kiongozi wa familia unakuwa rahisi kama unampa mke wako pesa za matumizi ya familia na yeye pia kununua vitu kama nguzo, vidani, viatu, make ups, kwenda saloon, perfumes etc...
Kama humpi mwanamke wako hela, kwa asilimia kubwa ndoa hiyo itakuwa inaongozwa na mwanamke na wewe labda utumie tu utemi.
Utasema mwanamke anakuzimia, ila hayo huwa yanaisha na itakuwa boring.
Ok. Basi kuna sehemu tumepishana kidogo. Andiko langu linahusu mahusiano ya boyfriend and girlfriend. Kuhusu mke unaishi nae nyumbani kuna mawili kama mmekubaliana awe mama wa nyumbani basi ni wajibu wa mwanaume kubeba jukumu lote la ustawi wa kiuchumi kwenye familia na kama mmekubaliana mke awe mpambanaji basi nae anawajibika kuleta kitu mezani.
 
Mpe mwanamke hela, ajinunulie nguo nzuri avae apendeze, ajinunulie vipodozi, vito na manukato mazuri ajipambe apendeze. Sasa ukisema pesa apewe na baba yake na mbususu pia utasema ampe baba yake

We chukulia pesa unayompa mwanamke ni kama zawadi juu ya upendo wako kwake. Ndio maana hata mkioa waume mnatoa mahari na kupeleka zawadi kwa familia ya mke. Na unamfuata mke kwao kumchukua kwako ili umhudumie.
wanawake walio single wanatembea uchi?
 
Wenye uwezo wa kuhudumia wahudumie, wanaoweza kununua wanunue, wanaopiga nyeto wapige na hata wale wa ndoto nyevu waendelee. Kila mtu aishi ananyoona inampa raha na amani ya moyo.
 
Wenye uwezo wa kuhudumia wahudumie, wanaoweza kununua wanunue, wanaopiga nyeto wapige na hata wale wa ndoto nyevu waendelee. Kila mtu aishi ananyoona inampa raha na amani ya moyo.
Misingi lazima iwekwe hatuwezi kuacha kila mtu afanye anachotaka eti kwa sababu ni hiyali yake. Kuna mijitu ni mipumbavu kwaiyo lazima iwekwe kwenye mstari iwe ni kwa hiyali au kwa lazima.
 
Misingi lazima iwekwe hatuwezi kuacha kila mtu afanye anachotaka eti kwa sababu ni hiyali yake. Kuna mijitu ni mipumbavu kwaiyo lazima iwekwe kwenye mstari iwe ni kwa hiyali au kwa lazima.
Utawaambia lakini kila mtu na maamuzi yake na pesa zake.
 
Back
Top Bottom