Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Ni kama tu baadhi ya wanaume mnavyopanic when women try to oppose men's bad behavioursWhy you always panic when someone tries to oppose some women's bad behaviours???
Ni kama tu baadhi ya wanaume mnavyopanic when women try to oppose men's bad behavioursWhy you always panic when someone tries to oppose some women's bad behaviours???
Bila kusoma 😅Bila kusoma[emoji28]
KWANINI USIMPE MWANAMKE WAKO HELA?
Evidence please, Coz me nimemquote huyo akiwa na ushahidi wake maana sio first time naona anakuwa blow minded kila akiona mwanamke anaongelewa hasa kwenye tabia ya kuombaomba helaNi kama tu baadhi ya wanaume mnavyopanic when women try to oppose men's bad behaviours
Oya dronedrake jamaa vipi huyu.!Tatizo sisi vijana tusipo wapa mabinti hela wanapewa na wazee wetu. Sasa ili tupate hela za kuwapa hatuna budi kuwaibia wazee wetu wake zao watuonge alafu tuwape hela mademu zetu..
Nb: Usimpe mwanamke hela uliyoitafuta kwa jasho, mpe hela uliyo hongwa na sugar mamy
Usipo liwa kidogo utajikuta unapiga nyeto mpaka uume unakua kama utumbo
Acha kabisa Mzee utakosa vipi mwisho utaishia kupiga punyenga acha hizo pigo mkono mtupu haulambwi watu wanafuata umatemate, usiwalishe watu ujinga wakaishi na kuishia naoUyo mwanamke ni mlemavu, ame-paralyse au mtoto yatima? Kama ishu ni sex iyo ni mutualy pleasure sasa kwanini mwanaume ugharamie.!
Hela anatakiwa kupewa na baba ake, no man have reaponsibility to take care of a girlfriend financialy, au kama anauza mbususu ataje bei twende geto tukamalizane nimlipe then no attachments.
The purpose of love relationship is to make love not to provide money. Nyie wanaume maboya embu amkeni basi.
Rais wa UWABATA jf
Serious?? Unamjua mtu aliyepanic kweli?Why you always panic when someone tries to oppose some women's bad behaviours???
Zingatia comment yangu 😁She belong to those characters exposed, nothing else.
Sio 1st time, other time ni wapi? Tofauti na huyu Mtafua ajira na mwenzake Loading failed?Evidence please, Coz me nimemquote huyo akiwa na ushahidi wake maana sio first time naona anakuwa blow minded kila akiona mwanamke anaongelewa hasa kwenye tabia ya kuombaomba hela
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku ukiwa na content mpya nakupa ajira
Wanawake decent wapoAcha kabisa Mzee utakosa vipi mwisho utaishia kupiga punyenga acha hizo pigo mkono mtupu haulambwi watu wanafuata umatemate, usiwalishe watu ujinga wakaishi na kuishia nao
Huna akili ww mbuzi, yn unatoa pesa kwenye ujinga afu unategemea Mungu akubariki 🗑️Naskia raha nikiona andiko kama hili maana hela tutaendelea kuwapa tukiwa nazo na maskini wataendelea kulalamika hata wakitoa 5k tu itamuuma roho ila jifunzeni unapotoa ndipo Mungu anakujazia palipo pungua
Pole sanaNimelia sana[emoji23][emoji23][emoji23]
kwanini usimpe mwanamke hela?Uyo mwanamke ni mlemavu, ame-paralyse au mtoto yatima? Kama ishu ni sex iyo ni mutualy pleasure sasa kwanini mwanaume ugharamie.!
Hela anatakiwa kupewa na baba ake, no man have reaponsibility to take care of a girlfriend financialy, au kama anauza mbususu ataje bei twende geto tukamalizane nimlipe then no attachments.
The purpose of love relationship is to make love not to provide money. Nyie wanaume maboya embu amkeni basi.
Rais wa UWABATA jf
Hata kama mmekubaliana, mke hawajibiki kuleta kitu mezani ila unashauriwa kuoa mke mwenye akili na moyo wa kufanya hivyo. Wanawake wengi hasa wakizaa na wakiwa na kipato basi watoto wao huwa wanafaidika na hicho kipato.Ok. Basi kuna sehemu tumepishana kidogo. Andiko langu linahusu mahusiano ya boyfriend and girlfriend. Kuhusu mke unaishi nae nyumbani kuna mawili kama mmekubaliana awe mama wa nyumbani basi ni wajibu wa mwanaume kubeba jukumu lote la ustawi wa kiuchumi kwenye familia na kama mmekubaliana mke awe mpambanaji basi nae anawajibika kuleta kitu mezani.