The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,952
- 4,629
Hutaki kutuma nauli tongoza jirani yako, usisumbe watu.
Huyo dogo hajielewibinafsi huwa sisubiri Mwanamke aniombe Hela... najiongeza Nampa mwenyewe... ni wajibu wng...
akiniomba Nampa kidogo.... asiponiomba Nampa za kutosha...
Kweli labisa hawa wanawake tusiwape hela wacha wazitafute kwa nguvu zao wenyewe. Hela peke ya kumpa mwanamke ni pale wote mpo uchi na unamkula mbususuUyo mwanamke ni mlemavu, ame-paralyse au mtoto yatima? Kama ishu ni sex iyo ni mutualy pleasure sasa kwanini mwanaume ugharamie.!
Hela anatakiwa kupewa na baba ake, no man has a reaponsibility to take care of a girlfriend financially; au kama anauza mbususu ataje bei twende geto tukamalizane nimlipe, then there are no attachments.
The purpose of love relationship is to make love not to provide money. Nyie wanaume maboya embu amkeni basi.
Rais wa UWABATA JF.
Kabisa kabisaKweli labisa hawa wanawake tusiwape hela wacha wazitafute kwa nguvu zao wenyewe. Hela peke ya kumpa mwanamke ni pale wote mpo uchi na unamkula mbususu
Maskini kafie mbali toa upate ndio habariTujifunze kutumia maandiko vizuri, kwasababu hujamaliza mpaka mwisho alivyosema mtoe kuna maneno alimalizia kwenye huo mstari pia, hapo ni sawa na wanaume wanavyojitetea kuwa kwenye maandiko tumeruhusiwa kuishi bila kuwa na mahusiano(ndoa) huku wakiendekeza uzinzi wakati hilo andiko hawajamalizia maneno ya mwisho.
Hahaha acha tupigwe kama kumpa mwanamke hela ni kupigwa acha watupige ila nikuambie ukweli wanaotoa ndio hupata zaidi unaweza kuwa kinati na pesa zako na bado maisha mazuri usiwe nayo ishi maisha pepo ipo duniani hapa hapaWewe ni mmoja kati ya wanaume wapumbavu ambao mnapendwa na kausha damu kwa sababu nyie ndo mafala wao. Unapigwa mzee baba, wake up from that dead asleep
Huyo dogo mbwa tu, analalamika atoe pesa wakati hata boksa kujinunulia hawezi anavaa mpaka boksa inakakamaa😂😂.Hahaha acha tupigwe kama kumpa mwanamke hela ni kupigwa acha watupige ila nikuambie ukweli wanaotoa ndio hupata zaidi unaweza kuwa kinati na pesa zako na bado maisha mazuri usiwe nayo ishi maisha pepo ipo duniani hapa hapa
😂😂😂 classic poverty mentality. Gen Z mnashida sana. utoe nini sasa😂😂.Maskini kafie mbali toa upate ndio habari
Maswali magumu na fikirishi.Atakuvumilia kwa lipi sasa? Kwamba uyo mwanaume anajinyea kwaiyo mwanamke atamtawaza? Au mwanamke haitaji mwenza kwaiyo kuamua kuwa na mwanaume ni kumuonea huruma tu? In which way a man become a burden kusema mwanamke analzimika kupewa hela ili amvumilie uyo mwanaume?
Yaani kama ww ni mtu mzima na unaona hakuna cha kutoa pole sana asee ukiulizaa gen z ni nini na inahusika na nn hujui zaidi ya kufuata mkumbo hujui hata inarange kuanzia miaka gani mpka miaka ipi......😂😂😂 classic poverty mentality. Gen Z mnashida sana. utoe nini sasa😂😂.
kwa hiyo kila siku anawaza ujingaSiku ukiwa na content mpya nakupa ajira
Kuna sehemu anapata kwan yeye hana matumizi?Dogo atakuwa ana swaga au domo zege mbona wanawake wapo Tunaish nao hawatuombi pesa. Anatafuta maji marefu wakati yeye tia maji kazi yenyew hakuna[emoji23]
Na anakoelekea atapakwa mafutaDogo huna akili.
Nafikiri waliofuatilia mjadala wamekuona kichwani ulivyo.
Hujui tofauti ya upendo na ngono, tulia ukikuwa utaelewa.
Endelea kupiga nyeto
[emoji2296][emoji2296]Huyo dogo mbwa tu, analalamika atoe pesa wakati hata boksa kujinunulia hawezi anavaa mpaka boksa inakakamaa[emoji23][emoji23].
Huyu dogo atakufa na stress na punyeto
Haha, yaani ndio maana na kwambia Gen Z ni wajinga. Mimi si mjinga kutaja kitu nisichokijua, chakushangaza vizazi vilivyopita ndio walilea wanawake bila kelele ila nyie ni shida. Acheni mkumbo wakufuata internet 😆😆😆. Tumia akili dogo.Yaani kama ww ni mtu mzima na unaona hakuna cha kutoa pole sana asee ukiulizaa gen z ni nini na inahusika na nn hujui zaidi ya kufuata mkumbo hujui hata inarange kuanzia miaka gani mpka miaka ipi......
Umaskini wa kwanza ni kuona mambo madogo kama hayawezekani vile