The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,952
- 4,629
kutoa hela ni wajibu kutegemea na mahusiano hayo unaelewa hilo?Ukishaweka wajibu wa kutoa hela kama nguzo ya kushikilia mahusiano basi hata uyo unayempa hela nae anajiuza anachotofautiana na wale wa kitambaa cheupe na wanaojipanga barabarani ni mbinu tu. Soma vizuri comment ya mshkaji