92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,424
- 17,067
Kuna sehemu mwenye net umeambiwa umpe mwanamke hela? Mkuu huna za kutoa piga kimya usitake kila mtu awe na roho mbaya kama yako mimi ntampa mwanamke yeyote ninayemtumia ni moyo wa upendo na kutoa nasikitika kama ww ni mtu mzima alafu ushindwe kumpa demu kalaki akaenjoy weekend 😂😂😂 ukitoa hupungukiwi chochote mkuu ni moyo tu ni kama unavyosaidia maskini wasiojiweza sasa mtu anakupa penzi anakupeleka kwenye vilele vya raha unaona soo kumpa hela acha ubahili usio na mbele wala nyumaHaha, yaani ndio maana na kwambia Gen Z ni wajinga. Mimi si mjinga kutaja kitu nisichokijua, chakushangaza vizazi vilivyopita ndio walilea wanawake bila kelele ila nyie ni shida. Acheni mkumbo wakufuata internet 😆😆😆. Tumia akili dogo.