The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,952
- 4,629
Unapojifunga wewe ni kumwambia neno UPENDO.Kwanini umtafutie cha kufanya mkuu? ilo jukumu lake, kupitia 50/50 mwanamke ashapewa access zote za kujipambania mwenyewe, mbona mnataka kuwa-treat hawa wanawake kama vile ni watoto wadogo. Mawazo kama yako matokeo yake wanawake ndio wanajiona wanatakiwa kubebwa bebwa tu kwenye kila kitu.
sijui hata kama unaelewa?
Kama ukitaka ngono ipo tu na Pesa yako.
Kitu kama unakipenda hutaacha kukipigania.
Pale pale mwanzo ulipomtongoza ungemwambia mimi nimekutamani hapo angejua anapambana kivyake