Kwanini umpe mwanamke hela?

Kwanini umpe mwanamke hela?

Mimi binafsi nampa mwanamke hela pale ninapojisikia na sio kunidai tanÄŁu naanza mapenzi nipo hivyo hadi leo hii... mademu wengi nishawapiga chini kwasababu hakuna kitu kinanitia kinyaa kama kuambiwa neno "utaweza kunihudumia?" Ndio maana napenda sana mademu wa kuwanunua,kwanza uzinifu ni dhambi sasa iweje dhambi initie hasara za pesa ambazo ningefanyia mambo ya msingi? Watoto wĂ  cotc na saut hapa mtwara ukienda nao kwa mfumo wa mapenzi sijui yakudumu lazima wakufilisi utakuta unatumia kwake mpaka70000 kwa wiki halafu ndani ya wiki moja unamchapa mara 2 tu tena ni goli 2 ambazo jumla unamchapa goli 4 wiki mzima kwa 70000...wakati nikitumia mfumo wa kununua nampa 15000 namkanyaga viwili kwa hiyo 15000Ă—2=30000
Hesabu zko zimetulia sana mim enzi zangu nilikuwa nashuka Hadi Kwa wale wa 3000 aftatu manake hii midemu mingine ni mzigo tu
 
Pumbavu mna waforce wanawake wawe masculine then later mnakuja kulia wakiwapanda vichwani.

Choose a good woman then provide for your woman. Otherwise bosi wake atakupangia siku za kumkaza na hutokuwa na cha kusema. Atamtii bosi wake kuliko wewe na hutokuwa na kauli yoyote.
 
Hata kama mmekubaliana, mke hawajibiki kuleta kitu mezani ila unashauriwa kuoa mke mwenye akili na moyo wa kufanya hivyo. Wanawake wengi hasa wakizaa na wakiwa na kipato basi watoto wao huwa wanafaidika na hicho kipato.
Kuhusu boyfriend na girlfriend, hapo ndio kabisa inabidi umwage mpunga ili kumshawishi awe nawe maisha. labda kama haupo serious.
Hata kama haupo serious, mwanamke anayejielewa na anayejua thamani yake ukimdate anategemea awe spoiled sema wanaume wengi siku hizi ni kama wanawake tu.
Umwage mpunga kwa girlfriend.! Mdogo angu embu jaribu kuwa seriuos hata kidogo tu.
 
Tulia upakwe dawa nn shida mbona tunato na Mungu hatutupa mpka leo tena katubariki zaidi yako ndio maana tunaweza kutoa pale inapohitajika...... Mpare kuwa mbahili sio kuwa na pesa kitu roho tu
Wewe ni mmoja kati ya wanaume wapumbavu ambao mnapendwa na kausha damu kwa sababu nyie ndo mafala wao. Unapigwa mzee baba, wake up from that dead asleep
 
Naskia raha nikiona andiko kama hili maana hela tutaendelea kuwapa tukiwa nazo na maskini wataendelea kulalamika hata wakitoa 5k tu itamuuma roho ila jifunzeni unapotoa ndipo Mungu anakujazia palipo pungua
Tujifunze kutumia maandiko vizuri, kwasababu hujamaliza mpaka mwisho alivyosema mtoe kuna maneno alimalizia kwenye huo mstari pia, hapo ni sawa na wanaume wanavyojitetea kuwa kwenye maandiko tumeruhusiwa kuishi bila kuwa na mahusiano(ndoa) huku wakiendekeza uzinzi wakati hilo andiko hawajamalizia maneno ya mwisho.
 
Mimi nimezipotezea comment zako kwa sababu nimeona haunielewi, napigia mbuzi gitaa tu. Nakuelekeza kwa mara ya mwisho. Upendo sio justification ya kutoa hela. Kwa namna yoyote hela ikishatumika kama medium ya kuwezesha chochote katika mahusiano iyo ni biashara, linabdilishwa jina tu la hela unayotoa, ile hela unayompa mwanamke ufanye nae sex instantly inaitwa bei na unayompa uyo unaedai unampenda ili kutengeneza mazingira ya yeye kukurudishia upendo au kutengeneza mazingira ya kupata sex inaitwa matunzo. Kimsingi hao wanawake wote wanajiuza wanatofautiana mbinu tu.
Dogo huna akili.
Nafikiri waliofuatilia mjadala wamekuona kichwani ulivyo.

Hujui tofauti ya upendo na ngono, tulia ukikuwa utaelewa.
Endelea kupiga nyeto
 
Tatizo ni kuwa watu hawapati wapenzi wao wanadandia wapenzi wa wenzao, which is justifiable huwezi mpa hela kimazoea mpenzi wa wenyewe. Sana sana utampa pesa akupe sex upite hivi.

Tukipendwa tunapewa pesa, si pesa tu na mengine mengi… We call it courtesy…. Na mara nyingi/kama si mara zote ni hiari.

Ukiona unakumbushwa au kudaiwa ni wazi hapo si mahala pako.
Ndio maana nikasema huyi dogo kichwani mweupe , ndege wanaofanana huruka pamoja ndio hili dogo limeingia kwenye magume gume yaliyoshindikana
 
Back
Top Bottom